snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,215
- 1,656
Weka ushahidi hapa wa kuwa wewe unafikisha 3mbps.
FaizaFoxy
Unachokilalamikia wewe hapa Ni unlimited bundle uliyojiunga !
Kwamba ina speed ndogo !
Sidhani kama unamaanisha speed ya vodacom ni ndogo kwa vifurushi vyote !
Na hata hiyo speed unayoisemea wewe kwa kifurushi hicho cha unlimited !
Kuna wengine wanapata speed nzuri tu mwanzoni baada yakujiunga !
Ndomana nikakwambia ujiulize kwanini hiyo speed iwe kwako tu
Na binafsi sina uteja na Vodacom !
Nikimaanisha hiyo screen shot unayotaka nikuwekee !
Na binafsi siwekagi screen shot mana najijua ni muongo !
Naweza kukuwekea screen shot yoyote uitakayo !
Hata 50MBps
Mfano ! --->
screen attachment kuweka sio kazi kama unaitaka hiyo ya 3MBps
Attachments
Last edited by a moderator: