Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,263
- 16,288
Upo Dodoma ?
nipo magogmi hapa
Upo Dodoma ?
Kiukweli kwa takribani wiki moja na nusu hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa sana tunapozungumzia kasi ya internet kwa hawa tigo, yani zamani spidi ya kudownload kawaida mchana 60 kb/s ila kwa sasa nmeshangaa sana spidi average ya kudownload inaenda 320 kb/s.
Kiukweli wamejitahidi sana yani jana nmedownload movie ya gb 1 at a satisfying speed hongereni sana tigo.
Dah! mie natumia Voda bundle ya mwezi Unlimited, sijapata hiyo spidi hata siku moja. Zaidi ya miaka mitatu natumia modem ya Voda G3.
Mitaa ya kwetu usiku wa sita TIGO nyepesi kama vile 4G hivi ya smile
Ungejiunga Kifurushi cha siku ! Usingepata speed ndogo !
Ukijiunga unlimited baada ya Kufikia limit flani
! ISP huwa wanafanya speed throttling kwa hapa TZ ndivyo wananchi tulivyolidhika na uonezi huu !
Ila kuna njia zaku bypass nyingi ni ---- tu !
Ngoja tuwasikilizie Airtel Jamaa ! Wanafikisha 8GB mpaka sasa bila speed kushuka !
Usingeweka na IDM kidogo hiyo speed ya Dashboard 10MBps ingetishia !
Ila kama Downloading speed ya IDM ni 1.34MBps basi ni speed ya kawaida sana !
Ni differ sana na 4G ya smile ! Hiyo speed ya Tigo ina ---- !
Mitaa ya kwetu usiku wa sita TIGO nyepesi kama vile 4G hivi ya smile
Nalijuwa hilo, kwa voda Unlimited ni 5 GB lakini hata hapo ambapo haijafikia 5 GB spidi hiyo ya 3Mbps sijawahi ifikia hata nusu yake. Tuwe tunaweka hadithi za ukweli kwa haya mambo na nilifikiri labda ni sehemu niliyokuwepo, lakini la hasha, nimejaribu Kariakoo, hali hiyo hiyo, nimejaribu Upanga hayo hayo, nimejaribu masaki yale yale, nimejaribu Mlimani (UDSM) yale yale, haijawahi kuzidi 600 kbs.

Unanifanya niijaribu TiGo, ni kifurushi kipi hicho? nna Modem yao ya 3G.
wamenisikitisha sana xtreem pack ya sh.500/- ambayo uapewa 100MB, kwa sasa wamepunguza MB ufikia 75MB.
Umefikisha GB ngapi toka ulipojiunga ?
Tigo ipi unazungumzia
Nnakwambia sijawahi kufikisha zaidi ya 600 Mbps hata ninunuwe leo kifurushi cha unlimited cha mwezi, sijawahi kupata zaidi ya 600kbps, sijui unaelewa nnachokiandika?
Kwani kuna tiGo ngapi mkuu?
Ila unatakiwa kujiuliza kwanini iwe kwako tu !
Labda mwenzetu kafikiri mleta mada ni Tanzanian in diaspora probably anatumia Tigo Rwanda