RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,424
500MB for 500 per month ni kifurushi kipi hicho??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nikikumbuka 400MB kwa Mwezi kutoka Airtel.. sisahau nilikuw natumia Feature phone za Nokia...
500MB for 500 per month ni kifurushi kipi hicho??
Sent from my iPhone using JamiiForums
sijaona msamiati hapo ndo nishindwe kuelewa wee umeambiwa weka screen shot ya jinsi unavo shusha vitu kwa speed kubwa unajifanya unajua kudanganya afu unatudanganya kitoto
duh mkuu naona hamna uwiano kabisa unadownload mb 200 kwa almost 1 Mb/sec ambayo inahitaji kama secunde 200 tu ila kwako naona bado dakika 18 hadi hio download imalizike kwa estimation yangu unacheza kwenye 150 hadi 240 kb/sec
pouwa mi mwenyewe sio nabisha ila nilikuwa nakukosoa tu kwa ulichokiweka.ila yaishe
siku zote lazima ujue kwamba kwenye speed ya internet tunatumia bits e.g 8Mbps au 800Kbps wakati katika file size tunatumia Bytes e.g 1MBps au 100KBps
Zinatofautiana kwa unit factor ya 8
Generally simple formula ni kwamba 1MB/sec======> 8Mbps
Hivo katika dashboard yako ilikua inaonesha 2.6Mbps tuifanyie converstioon
Iwapo
1MBps=========>8Mbps
je 2.6Mbps ni sawa na ngapi?
Fanya cross multiplication
2.6/8=0.35MBps ambayo ni sawa na 350KBps
Hope umeelewa japo somo limekua gumu sababu ya typing interface ya JF haina symbols za Basic Maths
Kwa hiyo huyu katudanganya:
Unachokitaka ni hiki hapa mkuu !
we jaaa hii spidi ni tigo au smile? uko wapi?!! unalipia bundle ipi? hii kufuru kaka.
hiyo tunaita Photoshop...soma comments zake page mbili au moja za nyuma utapata jibu
Shiny unaona vizuri lakini ?
Si download 200 MB kwa speed unayoisemea !
Labda nikuandikie !
File size = 200,000 MB = 200GB
transfer rate 1,065 MB/sec = 1GB/sec
Time left 18 min 22 sec !
Shiny unaona vizuri lakini ?
Si download 200 MB kwa speed unayoisemea !
Labda nikuandikie !
File size = 200,000 MB = 200GB
transfer rate 1,065 MB/sec = 1GB/sec
Time left 18 min 22 sec !
Halafu hebu niinbox mkuu nielekeze mambo yetu ya kueleweka yako upande gani na kwa gharama gani sku hizi?
mkuu homgera naona umejitahidi kutumia photishop ila kwa hio spid wadanganye watoto wa mtaani kwenu
Is it a Reward i get after saving that Bitch mkuu ?
its no reward its a curse,we unakaa mars au hadi udownload 1 gb/sec ha haha ha