Spidi ya internet tigo imeongezeka sana

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,208
2,000
Kiukweli kwa takribani wiki moja na nusu hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa sana tunapozungumzia kasi ya internet kwa hawa tigo, yani zamani spidi ya kudownload kawaida mchana 60 kb/s ila kwa sasa nmeshangaa sana spidi average ya kudownload inaenda 320 kb/s.

Kiukweli wamejitahidi sana yani jana nmedownload movie ya gb 1 at a satisfying speed hongereni sana tigo.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,098
2,000
watawafikia na nyinyi kama wiki 3 zilizopita huku kwetu waliupdate mitambo, net ilikata kama siku 2 kurudi ni mwendo wa 1MB/ps tu
 
king90

JF-Expert Member
Apr 18, 2014
302
225
Inategemea na eneo na pc au cm unayotunia huwezi amini sehemu ninayokaa huwa inaenda mpaka 4Mb/s hadi huwa nashangaa bt sometimes huwa inashuka mpaka 500kb/s ila nipo karibu na mnara sasa sijui ndo maana harafu wanachonifurahisha zaidi wananipa 500MB for 500 per month.Nakula bata tu
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
8,792

  • Hapa kweli tumetofautiana matumizi
  • Kwa mimi 500MB hazimalizi hata dk 30 zinakuwa zimeisha
 
privacy

JF-Expert Member
Apr 20, 2014
1,353

500MB for 500 per month ni kifurushi kipi hicho??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
king90

JF-Expert Member
Apr 18, 2014
302
225
Hiyo unatuma neno OFA to 15166 kama una sifa za kupewa ofa unapewa kama huna wanakwambia.
 
bigboi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
641
1,000
Speed kubwa vifurushi wanakupa vya mb waweka vya unlimited kama airtel na voda zantel wao wamelala watu wengi sasa hiv wapo voda na airtel kwa ajili ya unlimited na speed kubwa kuliko tigo
 
Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,208
2,000
Karibu voda.. 3Mb/S Better than 320kb/s

Tigo kwa speed ya net bado sanaaa

Inategemeana na maeneo mlipo !

Mi naona Tigo ina speed kubwa kuliko Voda !

watawafikia na nyinyi kama wiki 3 zilizopita huku kwetu waliupdate mitambo, net ilikata kama siku 2 kurudi ni mwendo wa 1MB/ps tu

Inategemea na eneo na pc au cm unayotunia huwezi amini sehemu ninayokaa huwa inaenda mpaka 4Mb/s hadi huwa nashangaa bt sometimes huwa inashuka mpaka 500kb/s ila nipo karibu na mnara sasa sijui ndo maana harafu wanachonifurahisha zaidi wananipa 500MB for 500 per month.Nakula bata tu

  • Hapa kweli tumetofautiana matumizi
  • Kwa mimi 500MB hazimalizi hata dk 30 zinakuwa zimeisha

Ni kweli ni chache sana ila mie mambo ninayotumia sio makubwa sana

500MB for 500 per month ni kifurushi kipi hicho??

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hiyo unatuma neno OFA to 15166 kama una sifa za kupewa ofa unapewa kama huna wanakwambia.

Speed kubwa vifurushi wanakupa vya mb waweka vya unlimited kama airtel na voda zantel wao wamelala watu wengi sasa hiv wapo voda na airtel kwa ajili ya unlimited na speed kubwa kuliko tigo

wadau najua sana hio mitandao mingine ina spidi ila bure hupati au nyie mnapiga bure
 
alsaidy

JF-Expert Member
Feb 23, 2009
334
225
watawafikia na nyinyi kama wiki 3 zilizopita huku kwetu waliupdate mitambo, net ilikata kama siku 2 kurudi ni mwendo wa 1MB/ps tu

Ni kweli mkuu huku kwetu Tanga Tigo imetulia sana kwa speed na kikubwa nilichokiona ni kuwa stability ya 3G kwa Tigo hapa Tanga ni nzuri kushinda Airtel.

Nilipohamia Tigo kuwa line yangu ya kupata data hata charge ya simu iliongezeka kwani nahisi Airtel 3G iko weak so smartphone inatumia nguvu sana kupata 3G na inasababisha simu kupata moto mara moja...
 
davidson689

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
638
250
Jamani yaani mi mtandao unaniboa voda speed inaboa, airtel ndo usiseme tigo vifurushi vyao vinaboa hadi basi. Hebu tujuzane vifurushimnavyovitumia nyi wenzangu.
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,614
2,000
watawafikia na nyinyi kama wiki 3 zilizopita huku kwetu waliupdate mitambo, net ilikata kama siku 2 kurudi ni mwendo wa 1MB/ps tu

Hii ni speed ya mchana kwe upe au ile mida ya Kubundi saa sita huko ndo unafikisha 1MBps?
Maana kwa Dar nilipo hapa hiyo ndo speed ikifika saa tano nakupanda
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom