Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
In their wildest junky dreams ....siooni kwenye MSM zenu pendwa ...hivyo ..that's junky MkuuMambo mazuri yanakuka View attachment 2350436
In their wildest junky dreams ....siooni kwenye MSM zenu pendwa ...hivyo ..that's junky MkuuMambo mazuri yanakuka View attachment 2350436
Huwa tunaleta evidence mpaka video hamjawahi kukubali sisi tunasonga mbele pigeni keleleIn their wildest junky dreams ....siooni kwenye MSM zenu pendwa ...hivyo ..that's junky Mkuu
and what would you expect the purpetier to say ...demonstrable success what a bunch of clowns ....Counter offensive inazidi kufanikiwaView attachment 2350446
Videos zipi ...waruhusuni MSM yenu Washington Post wako karibu na frontline watuelezee mkuu habari ya edited video za computer lab ..hata my 10yr old kid can do that MkuuHuwa tunaleta evidence mpaka video hamjawahi kukubali sisi tunasonga mbele pigeni kelele
Lete ushahidi wa video hata moja kuwa ni edited hivi unaedit watu wamekufa na silaha za mrusi zinaonekanaVideos zipi ...waruhusuni MSM yenu Washington Post wako karibu na frontline watuelezee mkuu habari ya edited video za computer lab ..hata my 10yr old kid can do that Mkuu
Yaani mngezikwala hata km 5 ....ingekuwa Sherehe kubwa kwa dementia Kibabu pale DC ...na ndio maana wanatokea kuongea kwa terminology za kijana Jana ionekane wanalo jambo la msingi...hii yote ni kujustify upigaji deal wao uendelee ...Tunazidi kusonga mbele 50km sio mchezoView attachment 2350450
Hakuna ushahidi mliwahi kuukubali sisi tunasonga mbele kanunueni silaha kwa kiduku tunawasubiri zile Intercontinental missile zimekwisha HIMARS kiboko yenuYaani mngezikwala hata km 5 ....ingekuwa Sherehe kubwa kwa dementia Kibabu pale DC ...na ndio maana wanatokea kuongea kwa terminology za kijana Jana ionekane wanalo jambo la msingi...hii yote ni kujustify upigaji deal wao uendelee ...
Ukros are literally annihilated
Ni sawa na kumkamia sana mwanamke huku umepanga utamkomesha kwa kumpiga paipu za kutosha mpaka ashindwe kutembea.Hii ni small military operation watz vichwa vigumu sana urusi inaenda kwa tahadhari kuepusha more causality. Endelea kuchoma mkaa mambo makubwa kwako chief
Russia ame re allocate troops from Kharkiv to Kherson kwaiyo Russia anasonga Kherson NIKOLAEV na HAWA wameenda kucover maeneo aliyotoka Russia. Kharkiv haina strategic importance km Kherson NIKOLAEV kuelekea I love OddessaMateka wengine hawa leo hii wanahojiwa kutoa siri za super power wa mchongo
Russia na ubabe wake huo bado anapigana vita na Ukraine?Shida UKRAINE ni ngumu kushikilia hayo maeneo waliyokomboa maana wanatumia nguvu nyingi ila mwisho wa siku wanayapoteza kiwepesi tu.WARUSI sasa ivi wanapigana vita ya akili sio ya kupoteza wanajeshi kizembe.muda msema kweli,tuendelee kuwepo
Mbona unakubali kinyonge hivyoShida UKRAINE ni ngumu kushikilia hayo maeneo waliyokomboa maana wanatumia nguvu nyingi ila mwisho wa siku wanayapoteza kiwepesi tu.WARUSI sasa ivi wanapigana vita ya akili sio ya kupoteza wanajeshi kizembe.muda msema kweli,tuendelee kuwepo
Hao mateka wachunwe ngozi wakiwa haiView attachment 2349944
View attachment 2349945
View attachment 2349946
Ukrainian prisoners, probably captured in the Kherson region.