Russia ame re allocate troops from Kharkiv to Kherson kwaiyo Russia anasonga Kherson NIKOLAEV na HAWA wameenda kucover maeneo aliyotoka Russia. Kharkiv haina strategic importance km Kherson NIKOLAEV kuelekea I love Oddessa
Mbona ume-reply kwenye video game Sasa
 
Wakuu vunjo , mtarimbo na kp kipanya44 kwanza Pro russia wengi naona wameanza kukubali maeneo yameenda ila wanasema Ukraine hana muda atayaachia. Wameanza kazi ya shekh yahaya kutabiri.
Mzee wa kulishwa tango pori... Huyo vunjo na kp kipanya ni wehu. Wanavyoleta video, ziwe za kweli au uongo utafikiri russia wao wamekaa tu wanasikilizia kipigo. Wanajibu tena zaidi ya mara 10 yao. Na ushahidi mkuu mixx anauweka hapa toka kwenye vyanzo vya kuaminika. Hii one sided story ni kujidanganya tu. Na taarifa zao ni kutoka kwenye visite vinavyoegemea ukraine. Unaweza kuta page 2 ni wao tu wamejaza video na vicomment vya mipasho. Dunia nzima, inajua na kutambua kuwa Ukraine haitakaa iweze kuishinda russia kwa jambo lolote.
US na EU na Nato yao wamepiga hesabu zao vibaya. Matarajio yao ni kilichotokea ni mbingu na ardhi.
 
Ushaid gan unataka sasa ,anzisha chombo chako basi ili watu wakuamin
Urusi ina ushaid gan imewafurumusha Ukraine au ushaid gan uliopo kwamba Ukraine hawajasonga mbele.

Maneno gani hayo bona kidogo unashangaza, hasira zote za nini if I may ask? - If my memories serves me right nimesema 'am an independently minded homo sapein sapein - does that bother you at all, nimeongezea kwa kusema kwamba someni magazeti ya magharibi mnayo amini nikatoa mfano wa The Washington Post, je,lilisemaje kuhusu mwenendo wa vita huko Ukraine na, je, jeshi la Ukraine li hali gani mpaka sasa kutokana na maelezo ya askali wa Ukraine aliye kuwa mstari wa mbele, pili askali huyo alisema nini kuhusu jeshi la Urusi linavyo wapa kashikashi, sasa kama baadhi ya vyombo vya magharibi vinakiri imahili wa jeshi la Putin sisi ni akina nani kuwabishia kwani tukikubali hali halisi ya mambo hata kama hatupendi kuna ubaya gani? Wa kale walisema mwenye nguvu/uwezo mpishe bila ya kujali tofauti za idealogies.
 
Russia ame re allocate troops from Kharkiv to Kherson kwaiyo Russia anasonga Kherson NIKOLAEV na HAWA wameenda kucover maeneo aliyotoka Russia. Kharkiv haina strategic importance km Kherson NIKOLAEV kuelekea I love Oddessa
Ukraine wametumia akili kubwa Sana walichofanya ni kwamba

Kherson ilikua ni mtego....walitangaza kufanya counter offensive,warusi wakaingia kingi wakatuma wanajeshi kibao na vifaa vya kijeshi Kherson,sasa Ukraine anachokifanya sasa hivi anataka akate supplies za hao wanajeshi (ndo maana unaona kila kukicha wanashambulia madaraja na kila warusi wakijaribu kutengeneza madaraja ya muda yanalipuliwa na HIMARS) then at the same time wakaanzisha mashambulizi Kharkiv wakati hawakutangaza mwanzoni kama watashambulia Kharkiv. Na Kwa Kasi wanayoenda nayo hii (siku mbili wamesonga 50km) kama ukitokea wakaiteka Kupiansk,wanakua wamewatenga wanajeshi wa Urusi waliopo Izyum kupata support yoyote Ile maana wapo Kati. Inakua ni Mariupol part 2.

Ngoja tuone mpaka Mwisho wa mwezi tutakua tumeyapata. Ila Russia kachezea kichapo cha mbwa mwizi huko Kharkiv vifaa vyao vingi vimetekwa wanajeshi wamekimbia
 
Usimlaum sana Putin mkuu,hata yeye alitamani amalizane na Ukraine angalau ndani ya siku 3,akatumia asikari wa parachute waliokuwa wanashuka kama mvua mjini Kyiv

Lakini mambo hayakwenda kama alivyopanga..,ndoto ya Putin ya kuionyesha dunia kuwa yeye ni super pawer kwa kuitiisha Ukraine ndani ya saa 72 ilizimika kama moto wa mshumaa,
Putin is fighting the US,NATO, Europe and Ukraine!You believe fighting all those countries is a simple task?No friend.Infact Russia has indeed proved that it is a super without any shadow of a doubt.
 
Mzee wa kulishwa tango pori... Huyo vunjo na kp kipanya ni wehu. Wanavyoleta video, ziwe za kweli au uongo utafikiri russia wao wamekaa tu wanasikilizia kipigo. Wanajibu tena zaidi ya mara 10 yao. Na ushahidi mkuu mixx anauweka hapa toka kwenye vyanzo vya kuaminika. Hii one sided story ni kujidanganya tu. Na taarifa zao ni kutoka kwenye visite vinavyoegemea ukraine. Unaweza kuta page 2 ni wao tu wamejaza video na vicomment vya mipasho. Dunia nzima, inajua na kutambua kuwa Ukraine haitakaa iweze kuishinda russia kwa jambo lolote.
US na EU na Nato yao wamepiga hesabu zao vibaya. Matarajio yao ni kilichotokea ni mbingu na ardhi.
Wewe taarifa zako unazitoa wapi?

Kwanini na nyie msiedit hizo videos?

Unataka kunambia kua team Russia hamuwezi kuedit hata video moja ya hypersonic inatua kyiv mnazidiwa hadi na bongo movie
 
Putin is fighting the US,NATO, Europe and Ukraine!You believe fighting all those country is a simple job,no friend.Infact Russia is indeed a super power.The ongoing war between Russia and Ukraine has proved that.
Ukraine inapigana na Russia,China,iran,Belarus and North Korea
 
Sio kweli.Tupe ushahidi kwamba nchi hizo ulizozitaja majeshi yao yapo Ukraine,na yanapigans kwa niaba ya Ukraine.Otherwise this will remain fake news.
ona sasa ubongo wako umecheza,kwani kushiriki vita ni hadi hizo nchi zitume majeshi Ukraine? Hao mbuzi wanamsupport Russia waziwazi kabisa wengine wametoa hadi ofa ya wanajeshi,drones feki wengine wameruhusu majesh ya Russia kupita kwenda Ukraine halafu unajifanya haujui? Pro Russia mnatia aibu na huruma kwa kweli
 
Ukraine wametumia akili kubwa Sana walichofanya ni kwamba

Kherson ilikua ni mtego....walitangaza kufanya counter offensive,warusi wakaingia kingi wakatuma wanajeshi kibao na vifaa vya kijeshi Kherson,sasa Ukraine anachokifanya sasa hivi anataka akate supplies za hao wanajeshi (ndo maana unaona kila kukicha wanashambulia madaraja na kila warusi wakijaribu kutengeneza madaraja ya muda yanalipuliwa na HIMARS) then at the same time wakaanzisha mashambulizi Kharkiv wakati hawakutangaza mwanzoni kama watashambulia Kharkiv. Na Kwa Kasi wanayoenda nayo hii (siku mbili wamesonga 50km) kama ukitokea wakaiteka Kupiansk,wanakua wamewatenga wanajeshi wa Urusi waliopo Izyum kupata support yoyote Ile maana wapo Kati. Inakua ni Mariupol part 2.

Ngoja tuone mpaka Mwisho wa mwezi tutakua tumeyapata. Ila Russia kachezea kichapo cha mbwa mwizi huko Kharkiv vifaa vyao vingi vimetekwa wanajeshi wamekimbia
Russia sio wa kumpa mwezi km kuna cha kufanya FANYA within two days . Russia ataibuka na means za kutisha . Hakuna mipango wa muda mrefu itafanikiwa jamaa ni wakubwa a real superpower with all the means at hands
 
Waukraine walilenga kuishambulia kote Kharkiv na Kherson kamanda wao kamuonya zelensky maana masahibu waliyoyapata yamewaletea hasara kubwa na Russia ndio kawa mjanja akawaachia Kharkiv Ili akamalizane na Kherson Nykolev na mwisho Oddessa . Kharkiv sio issue kwakuwa pale ni mpakani na Russia ni rahisi kudili napo kwa muda muafaka . Anakwenda kulinda bandari na Cremia. Ukraine hakupenda kustopisha counter offensive bali ameharibikiwa pakubwa . Hiyo Kharkiv sio USHINDI sana kwakuwa hakuna hasara ni relocation
 
Back
Top Bottom