mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,110
- 21,657
Mi sio mtu wa maneno ya kwenye vijiwe.kwenye ukweli lazima niongee.ila uzuri tupo hapa,kikubwa tuombe uzima
Mbona unakubali kinyonge hivyo
Mbona unakubali kinyonge hivyo
Russia na ubabe wake huo bado anapigana vita na Ukraine?
Nilijua ameshamaliza vita siku nyingi sana. Kumbe bado
Hakuna mbabe wa vita duniani
Duuh Pro russia ni wabishi kama paka kukata roho kwahyo tayari umekubali maeneo yameenda mana ulikuwa unabisha sasa bado umebaki kwny denial zone kwamba ukraine atapoteza tena😂Shida UKRAINE ni ngumu kushikilia hayo maeneo waliyokomboa maana wanatumia nguvu nyingi ila mwisho wa siku wanayapoteza kiwepesi tu.WARUSI sasa ivi wanapigana vita ya akili sio ya kupoteza wanajeshi kizembe.muda msema kweli,tuendelee kuwepo
Duuh Pro russia ni wabishi kama paka kukata roho kwahyo tayari umekubali maeneo yameenda mana ulikuwa unabisha sasa bado umebaki kwny denial zone kwamba ukraine atapoteza tena
Duuh Pro russia ni wabishi kama paka kukata roho kwahyo tayari umekubali maeneo yameenda mana ulikuwa unabisha sasa bado umebaki kwny denial zone kwamba ukraine atapoteza tena
Ukraine nae anapigana na Russia,China,Iran,Belarus na North KoreaURUSI anapigana na UKRAINE+MAREKANI+NATO+ NA MATAIFA MENGINE.Huyu mtu kiukweli ni mwanaume wa shoka
Sasa kwanini maeneo mlishakalia mnayaachia au mmeyachoka mnataka kubaki CrimeaKwa ngumu waliyotumia UKRAINE ingekuwa WARUSI awana nguvu basi wangekuwa washafika crimea
Ohh mkaa nyie ndo mnaoharibu mazingira na umeamua kujitangaza kabisaNilijua vita imeishaisha siku nyingi. Kumbe bado inaendelea, nilikuwa porini nachoma mkaa miezi 2 na wiki 3 sasa.
Nimeamini hakuna mbabe wa vita hapa duniani.
Ukraine Ni nchi ya pili kws ukubwa kieneo katika bara ulaya. Unasema nchi ndogo kweli?Kumbe vita bado inaendelea tu. Nilikuwa porini nachoma mkaa, nikajua Russia ameshaipiga Ukraine siku nyingi na sasa anaimiliki. Kumbe bado anapambana tu. Russia anaweza kuipiga hata North Korea kweli? Atachezea kichapo kibaya sana kwa kiduku. Ka nchi kadogo km Ukraine anakashindwa. Hii vita Russia alikurupuka 100%
Ni jambo la kawaida kwenye uwanja wa vita.Kharkiv nafikiri ndo sehemu iliyodondoshwa mizinga mingi kuliko mkoa wowote ule Ukraine kwa sababu WARUSI wanatoka na kuingiaSasa kwanini maeneo mlishakalia mnayaachia au mmeyachoka mnataka kubaki Crimea
Umepita mle mle mkuuNi sawa na kumkamia sana mwanamke huku umepanga utamkomesha kwa kumpiga paipu za kutosha mpaka ashindwe kutembea.
Siku ya mechi, hautaki hata kumuandaa mwanamke, unachomeka. Unapiga tak tatu wazungu haooo, hapo kwanza mwanamke hamu ndiyo imeanza. Unajifuta, huku unavuta hisia kali huku unasugua mashine kwenye kichwa.
Unakunywa maji mengi huku unawaza imekuaje. Inasimama huku imelegea, unamvuta mwanamke haraka haraka ili isilale. Unaweka chapuchapu. Unapiga tak 5 wazungu haooo.
Unaanza kumwambia mwanamke hukufanya muda mrefu, uliumwa siku mbili zilizopita na sababu zingine nyingi.
Ndicho kinachomtokea Russia kwasasa sababu nyingi mara ni small military mara ni operation ndogo. Hii vita Putin alikurupuka na aliikamia 100% kwahiyo ili kutohaibika visingizio vimekuwa vingi.
Twende nao taratibu mkuu utafika wakati wataongea ukweli tu japo watakuwa wanyonge sanaWakuu vunjo , mtarimbo na kp kipanya44 kwanza Pro russia wengi naona wameanza kukubali maeneo yameenda ila wanasema Ukraine hana muda atayaachia. Wameanza kazi ya shekh yahaya kutabiri.