wazee wa kazi
From Grozny, soldiers of 2 elite special forces flew out from Grozny to the special operation zone - the "North" regiment and the "South" battalion of the Russian Guard.

In the ranks of the allied troops, they will carry out the tasks set by the President of Russia V. Putin, R. Kadyrov said.
View attachment 2349139
Mimi sio Muislam.
Lkn navutiwa sana na nchi ya Urusi,
Kuwa ndani ya jeshi Kuna vikosi vya askari ni waislam kwa 100%
Na wanapiga kazi bega kwa bega na vikosi vingine.
Utulivu na amani ndani ya jeshi la Urusi ni akili hekima na busara za Putin.
Rais mwenye akili kuliko Marais wote wa NATO na west.
 
Ule wa $60 bil umeshateketezwa.
Bila shaka, silaha zinaletwa Ili zitumike mkuu, haijalishi zitatumikaje,iwe ni Kwa kuteketezwa,kutekwa na adui..au kumshambulia adui adi zikaisha..hiyo ndo kazi ya silaha,

Kikubwa ni Lengo litimie,
 
Mimi sio Muislam.
Lkn navutiwa sana na nchi ya Urusi,
Kuwa ndani ya jeshi Kuna vikosi vya askari ni waislam kwa 100%
Na wanapiga kazi bega kwa bega na vikosi vingine.
Utulivu na amani ndani ya jeshi la Urusi ni akili hekima na busara za Putin.
Rais mwenye akili kuliko Marais wote wa NATO na west.
Nilijua vita imeishaisha siku nyingi. Kumbe bado inaendelea, nilikuwa porini nachoma mkaa miezi 2 na wiki 3 sasa.
Nimeamini hakuna mbabe wa vita hapa duniani.
 
Badae wasije laumu ooh rusia makatili
Kumbe vita bado inaendelea tu. Nilikuwa porini nachoma mkaa, nikajua Russia ameshaipiga Ukraine siku nyingi na sasa anaimiliki. Kumbe bado anapambana tu. Russia anaweza kuipiga hata North Korea kweli? Atachezea kichapo kibaya sana kwa kiduku. Ka nchi kadogo km Ukraine anakashindwa. Hii vita Russia alikurupuka 100%
 
Sio kweli, mimi natoa habari kutoka kwenye otherside ili tupate mizania sio kusikiliza tu adithi na maigizo ya Zelensky na wafadhili wake - huo ndio msimamo wangu na sioni kama natenda dhambi kwa kutofuata mkumbo wa maoni ya watu wengine.

Back tp the main point: Tusiende mbali ebu jaribu kupitia taarifa za The Washington Post limesemaje baada ya kumuhoji mwanajeshi wa Ukraine aliye kuwa frontline bahati mbaya kajeruhiwa, alikatika mkono na kulazwa Hospitalini - kasema nini kuhusu umahili wa jeshi la Urusi na matatizo yanayo likumba jeshi la Ukraine kiujumla - kumbukeni huyo ni eye witness msikilizeni wa umakini kuna kitu mtajifinza ,kwa bahati mbaya tukijaribu kueleza ukweli sisi mnatuona wazushi au ni ma-supporter blindly wa Taifa la Urusi, je, mamluki wanao ponea chupu chupu kwenye mapambano wanatoa habari gani kuhusu jeshi la Urusi wanapo rudi makwao kuadithia ndugu na jamaa zao, fatilieni habari hizo kwa karibu ndio mtajua vizuri kinacho endelea kwenye frontline - mfano mdogo mzuri wa hivi karibuni: mnakumbuka maigizo ya Zelensky juzi juzi hapa katamba kwamba amekomboa miji sijui na vijiji gani lakini reporter wa the Washington Post na maripota wengine walipo mwambia Zelensky alete ushahidi au wao waende kuona/shuhudia ushindi huo, Zelensky kawakwepa na kukaa kimya baadala yake kawambia wasaidizi wake wawapeleke maripota kwenye Hospitali waliko lazwa majeruhi wa vita - who can take this man Seriously - who?
Zelensky ni joker
 
Mambo mazuri yanakuka
Screenshot_20220908-192930_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom