kariobangii
JF-Expert Member
- Jul 21, 2023
- 497
- 638
sasa wewe ambaye unasema wanauchafua uislam si ndiye ungeonesha hivyo wanavyouchafua? naona umekalia mipasho na vineno vya kukaririshwa kama kasuku mara kilab nnaar mara khawarij ukiambiwa utoe hoja huna zaidi ya kugeuzwa msukule na wanazuoni waovu wanaotumikia makafir wa kimarekaniUnadhani uislamu unaendeshwa kama vyama vya siasa?
Uislamu una taratibu zake. Sio upuuzi unaofanywa na hao wajinga unaowasifia.
Hebu jiulize,uislamu unafaidika nini na huo upuuzi wao zaidi ya kuudhalilisha uislamu na kuupa picha mbaya Kwa wasio waislamu?
Waislamu wangapi wameathirika Kwa matendo yao ya kijinga?
Hao wanatumika kwakujua au kutojua na maadui wa kiislamu kufikia malengo yao ya kuupiga vita uislamu.
Mfano mzuri angalia lugha anayoitumia huyo mwenzako utajua hayo makundi na wafuasi wao ni watu wa aina gani...
Kama unabisha,weka hapa taarifu ya jihadi kisheria. Sharti zake taratibu na vizuizi vyake tuvijadili halafu uone hao kilaabu nnaar kama Kuna wanachotekeleza Kwa mujibu wa Sheria za kiislamu.
jikomboe kifikra ewe baba mwajey
uislam sio kufuata mkumbo na ububusa
leta hoja acha kuwa mweupe kichwani