lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,157
- 33,370
Kuna lugha ambayo USA alitumia dhidi ya Russia pale Russia alipokua anaitaka Ukraine isijiunge na NATO.Hii ndio maana halisi ya demokrasia na uhuru wa nchi kujiamulia mambo yake.
Huiambia Urusi isizichagulie marafiki zile nchi zilizokua umoja wa kisovieti.
Na kusisitiza kwamba nchi hizo zina haki ya kujichagulia marafiki.
Lakini hiyohiyo USA inakataza nchi nyingine zisiwe na urafiki na adui wa USA.
Hapa ndipo hua nakerwa na siasa za USA.
Ila Kuna watu wanaona ni sawa TU na USA Yuko sahihi.
Fahamu kuwa suala la Bomba la gesi kutoa gesi Iran kwenda Pakistan ni suala la kiuchumi,Sasa nchi moja USA inaizuia nchi ya Pakistan isipate manufaa ya kiuchumi kwa sababu TU ya chuki yake dhidi ya Iran.
Isa Ina wivu mkali sana.
Ila bahati nzuri Sasa tabia hizi ndio zinazozika ushawishi wa taifa hilo.
Said Arabia kaisha iteama na Sasa Pakistan nao sijuia kama watakubali ujinga huu.