ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,280
- 4,236
Acha kulia lia kitoto apa leta mafanikio ya Russia kwenye hii operation yake ili na sisis tuyajue tofauti na apo utakuwa unampigia mbuzi gitaa yaani wewe tuwekee mafanikio ambayo Russia kayapata kutokana na huu uvamizi wakeTeam moja hapa kuna kitu inashindwa kuelewa.
Hakuna Cleansheet kwenye mapigano hasa yanayohusisha silaha. Hatukatai kua Russia anapoteza wanajeshi au vifaa vyake vya kivita. Isipokuwa mkiamua kujigamba juu ya hilo basi leteni data amilifu.
Inaweza kua sawa wakati wa mapigano kupika taarifa either kupandisha morali n.k lakini taarifa ikipikwa mbali zaidi kuliko uhalisia inakosa mashiko.
Taarifa mnazileta kwa watu wenye akili timamu sio wenda wazimu, it's ok 0.005 mnaweza kuikadiria kua 0.01 lakini 0.005 kua 2 ni habari nyingine.
Nasisitiza kua hakuna Cleansheet kwenye uwanja wa mapigano, Ushindi unatafsiriwa kwa matokeo ya mwisho.
Sikumbuki lini na wapi niliposikia kua Kharkov imechukuliwa na Russia, ila inafurahisha masikio yangu kusikia kua Kharkov imekombolewa kutoka kwa Jeshi la Russia.
Tunataka kusikia ushindi wa kama hivi;
Ukraine kakomboa Jeshi lake pale Mariupol waliojificha kiwandani.
Ukraine imekomboa Snake Island hivo kurejesha utawala ndani ya Black Sea.
Ukraine imerejesha bandari yake na kuweza kuendelea kufanya export ya bidhaa zake nje.
Ukraine imerejesha Kherson na vitongoji vyake.
Ukraine imeliondoa Jeshi lote la Russia ikiwezekana kuipiga Russia nchini kwake.
Like that,
Kinyume chake thread imekuwa ya kitoto hapana mfano.
But what's the point of claiming to be a Winner kila siku mwenzio ana advance kwa kuchukua maeneo kila kukicha. Hivi sasa a quarter ya eneo lote la Ukraine liko chini ya jeshi la Russia.
Hatuezi pia kusema kua Russia kashinda vita wakati bado mapigano yanaendelea.
Na we can't say Ukraine is totally defeated wakati bado wanapigana.
What we can say na kuthibitisha ni kua Russia is advancing kwenye Operation yake. Only that kwa sasa.
Hey marafiki na waswahili wenzangu, leteni hoja tujadiliane kiutu uzima huo ushabiki haubadilishi uhalisia huko uwanja wa mapambano.