.
Screenshot_20220514-125642.jpg
 
Putin si mjinga kutoa silaha zote kwa ajili ya Ukraine wakati ana maadui wengi.na ndio maana hataki tangaza vita kamili maana akitangaza vita kamili itabidi apeleke vifaa haswa kwani Ukraine ataweza saidiwa ground na nchi yoyote ile

Kingine Urusi hana marafiki, China,Cuba, Vene, NKorea,Iran wamekaa kimya kama hawaoni
Kwa kweli tumekusikia boharia was jeshi la Urusi... Wametoa silaha zote zimeenda Ukraine.
 
Huenda kuna mtu ameku quote ukachanganya na mm au huenda nimeku quote ukanielewa tofauti. Siwezi kubishana kati ya USA na Urusi nani mbabe ila ninapinga Urusi kuivamia Ukraine.

Hapa kinanchonifanya niingie humu ni mada hii,

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo.​


Kama unataka tubishane kwa hoja basi wewe simama katika kutetea uvamizi wa Ukraine na mm nisimame katika kupinga uvamizi wa Ukraine lakini sio tubishane nani mbabe kati ya USA na Russia.
Vile vile mwanangu nataka nifumbue macho upate kuelewa. NATO iliundwa kwajili ya kupambana na Urusi.

Na hatuwezi kabisa kuanza kuongelea Ikraine pasipo kuwahusisha NATO. Maana tunawaona kihere here chao. Walianza na propaganda za kwenye media. Dunia yote imewaona walivyo wanafiki na wasema uongo. Ni watu wachache mno kwa sasa wanaoweza kuamini vyombo vya habari vya magharibi.

Wanajaribu kutuma silaha huko Ukraine lakini zinaishia mikononi mwa warusi. Ni kujitoa ufahamu tu ya mufikiri eti NATO wakianzisha vita na Urusi watashida.

Urusi ni taifa lenyenguvu sana. Technology yao ni ya kiwango cha juu. USA ya miaka ya nyuma siyo hii ya sasa. Imejaa maigizo. Ndio maana kwa sasa huko USA mambo yanaongewa tu lakini utelezaji ni sufuri. Demokrasia imeifanya nchi hiyo iwe dormant.

Hivi umewahi kwenda China wewe!?china kwa sasa ni dunia nyingine kabisa infrastructure za china akipewa USA kelele zitakuwa nyingi mno. Kwenye miji yenye infrastructures za maana ukiweka orodha ndani ya top 10 unaweza usikute hata mji wa USA.

Mwanangu dunia unabadilika kwa kasi sana. Na uelewa wa watu unakuwa mkubwa sana. Zike propaganda za wa magharibi watu wameshaanza kuzing'amua. Ni ninyi tu mmebaki kwenye old era hamtaki kubadilika.

Any ways, if you don't want to change changes will change you.

Hivi unajua kwamba only china has the vision kwamba kufika 2030 magari ya madogo nchi nzima yatakuwa yanatumia umeme!?

China kwa Urusi ni mtumwa. Na huyo china yupo kuwagonga wa magaribi kiuchumi. Na kwa mgogoro huu wa Ukraine utaiweka china juu sana kiuchumi. Huku wamagaribi wakiendelea na propaganda zao za zamani kipindi wanafanya scramble for Africa. Walituletea wapelelezi na wa missionaries ili kutupumbaza na kutuambia mila na taratibu zetu ni za kishenzi.
 
Putin si mjinga kutoa silaha zote kwa ajili ya Ukraine wakati ana maadui wengi.na ndio maana hataki tangaza vita kamili maana akitangaza vita kamili itabidi apeleke vifaa haswa kwani Ukraine ataweza saidiwa ground na nchi yoyote ile

Kingine Urusi hana marafiki, China,Cuba, Vene, NKorea,Iran wamekaa kimya kama hawaoni
Hajaomba msaada tu akiomba atapewa.
 
Kamanda wa batallion ya Azovstal katika jiji la Mariupol amewaomba wananchi wa Ukraine wafanye juhudi ya kuwaokoa na kwamba hawana haja ya kuambiwa wamekufa mashahidi.

Amesema hali huko shimoni ni mbaya sana na kwamba waliokuwa hawajaowa wanaomba watoke salama wapata kufanya hivyo na wle wenye wake na watoto hawataki kusikia jambo jengine ila kuona familia zao. Yule kamanda wa mwanzo kuomba msaada mpaka kwa papa inasemekana hatimae alifanya njama na Urusi na kutoroka.

Msemaji mwengine wa jeshi la Ukraine ametoa maelezo ya haraka isiyo kawaida kama kwamba yuko mbioni kiasi kwamba maelezo hayo yanapingana na taarifa za jana kwamba wameangamiza batallion nzima ya Urusi iliyokuwa ikijaribu kuvuka mto Siverskyi.

Katika taarifa ya leo amesema bado wanaendelea kusukumana na nguvu kubwa ya Urusi inayovuka mto huo.

Taarifa yake imekiri kuwa jeshi la Urusi limeongeza kwa kiasi kikubwa jeshi na vifaa katika kudhibiti majimbo ya Luhansk Sloviansk na Donetsk.
Katika kujichanganya kukubwa msemaji huyo amesema jeshi la Urusi linafikiria kujiondoa kutoka maeneo yanayouzunguka mji wa pili kwa ukubwa wa Kharkiv.
1652875577987.png
 
What really happened at the Seversky Donets crossing?

20 hr ago

17

12

A person who says he is a Ukrainian combat engineer has already claimed the glory of destroying a whole Battalion Tactical Group and killing 1500(!!!) Russian soldiers at a river crossing near Belogorovka. Ukrainian propaganda twitter & BrOSINT are all over it, coming up with ever higher numbers, sharing photos of the battle. What actually happened there?

Let’s take a look. This post will be a mix of my own observations, as well as a translation of the analysis provided by Greatwarchannel.

First off, some basic premises:

1) Photos and short videos with no proper geolocation & date given are inherently not representing a complete picture & even in the best case are nothing more than a snapshot.

2) We don’t know the time period over which the events depicted in such a snapshot occurred.

3) Both sides use a similar set of military equipment. It is difficult, and often impossible, to determine from the available photos and videos the identity of a particular vehicle.

4) Both sides have trophy vehicles from the other side, further complicating the analysis.

5) People pretending to be “Open Source Intelligence” specialists on Twitter are biased to a ridiculous degree, media uses them as “objective” sources, thus disproving Ukrainian war propaganda is an often thankless task of having to “defend” against the most extreme pseudo-analysis.

In addition, one side of the conflict has lied a lot more than the other side about such things, including blunders like using video game footage. If anything, you should try to be as unbiased as possible about tactical claims, but if something comes from the side that posts ArmA 3 videos, some extra scrutiny is in order.

There’s something interesting in Photo 1, namely wreckage of BMP-1s (1, 2 and 4) and also turrets torn off by ammo detonations, from the same type of vehicle (3 and 6)

Another interesting exhibit is 5, which looks like a BTR-D.

BTR-Ds are used by the Russian Airborne Forces, but Ukrainian air and ground forces also have them. The Donbass republics also captured several of them as trophies.

As for the BMP-1s, everything is more interesting. The Russian Army no longer uses the base variant of the BMP-1. They use BMP-1AM "Basurmanin" and BRM-1K, but both of them differ in combat compartment, and here we can clearly see the small single turrets of BMP-1.

The BMP-1 is, however, in service with the LPR and DPR People's Militias.

On this photo, we can see a bunch of BMP-1s. Numbers 6, 7, 11, 12, 20, 21, 15, 16 and 19 are clearly identifiable. A turret can be discerned around 12. Nine pieces, plus three in the previous shot. Twelve BMP-1s. Yes, number 6 is a BMP-1, it is better visible in another shot.

This cannot be ascribed to a random battlefield trophy the Russian army picked up.

The gem of this frame is number 10, which with a high degree of probability is none other than the Ukrainian "armored ambulance" based on the MT-LB, namely the MT-LB C, which has been supplied to the AFU since 2015. According to open data, the AFU has about 70 vehicles of this type, which is not that rare.

The nine is clearly an old "motolyga" (MT-LB) which has a small turret.

Numbers 8, 13, 17, 18 and 14 are harder to identify. Most likely these are machines of MT-LB family, number 13 even has a small turret.

Next slide.

We continue counting BMP-1s.

Numbers 23, 25, 27, 28, 29, and 30. Twelve BMP-1s plus six more, that's eighteen! Too many to be a coincidence.

Also another MT-LB, number 22.

Seven more BMP-1s: 31, 32, 33, 34, 35, 37, 41. Already twenty-five of them.

41, 31 and 35 have visible invasion marks, thus proving that they most likely belong to the Allied Forces of Russia & the Donbass republics (probably the latter, or actually Russian trophies).

This, of course, begs the question why all the other BMP-1s, even those in reasonably “good” condition, don’t have invasion marks if they’re supposed to be Russian?

Number 36 is another MT-LB, looks like the turret was also blown off.

Number 38 is not clearly identifiable.

Numbers 39 and 40 are T-72 tanks, possibly the B modification. Both look mostly undamaged. We’ve called the war a “Late Soviet Tech Genocide” before, most of the vehicle losses are among the APCs and IVFs.

Number 42 is a Kamaz 8x8 with a pontoon.

Numbers 43 to 47 are various river crossing equipment, much of it used by both sides (e.g. the the PMP-60).

48 and 49 are tugboats.

Now, what does this tell us.

1) According to the composition of the burned equipment, we see the presence of the Russian and Ukrainian armies, as well as forces of the LPR or DPR. We can no longer write off the entire pile as Russian casualties.

2) As can be seen from photo 5, the path there is well-traveled, which is understandable. After the bridges got blown up, such a convenient crossing place could not go unnoticed by both sides.

3) Thus we come to the most likely version of what happened at the crossing near Belogorovka. Both sides liked the place of the crossing. First the Ukrainians, but the Russian (Allied) forces suffered losses during the crossing as well.

4) The "mix" of equipment and its condition indicates that the sides fought over the crossing for some time (probably about a week) until it fell into the hands of the Allied Forces.

5) This is also indicated by Ukrainian photos and videos taken from a respectful distance. The crossing is clearly not under the control of the Ukrainian forces, otherwise the internet would have been FLOODED by close-ups of corpses and vehicles. They are notoriously prone to TikTok victories.

6) There are no bodies in the shots, which suggests that one of the parties had the opportunity to remove them.

7) The Ukrainian General Staff stated that in the evening of May 11, "The enemy is trying to seize positions on the right bank," and by the next morning "the enemy is crossing the Seversky Donets River to carry out an offensive.”

Later there were reports that Russian troops not only had not retreated from the area, but were expanding the bridgehead. It is difficult to say how large the bridgehead is now, but on May 11, judging by the published satellite images, the Seversky Donets crossing was intact. Right now, fighting is reported on the other side of the river, implying a successful crossing.

It looks like most of the fighting was done by the LPR & DPR in this area, with Russian forces carrying out the river crossing itself.

Two independent private sources on the ground have stated to me that Allied Forces vehicle losses were “around 20” and “fewer than two dozen”, respectively, with casualties between 30 and 50.

Subscribe to RWA Samizdat

By Russians With Attitude · Launched a year ago

Exclusive Samizdat Translations

Subscribe

17

12

19 hr ago

ngl it's always pleasant to read sober, non-hysteric analysis

6Reply

Citizen Satirist (CS)

Writes COVIDsteria + Tales From the Gr… ·19 hr ago

How can you talk about Seversky Donets when the real story is how the Ukrainians have completely surrounded the invading Russians and Zelensky is right now marching on Moscow to overthrow Putin?!!! ;)

Tales From the Great Reset: Inside a Ukraine Propaganda Brainstorming Session

- Ukrainian propaganda needs a Great Reset. I secretly sat in on a Ukrainian propaganda brainstorming session with Goebbelsky's new team as they try to come up with new ideas for starting World War III!

Tales From the Great Reset: I Went to the Ukraine to Play Call of Duty and Get Laid, But Got Banged Up Abroad Instead

- American Chad, a veteran of General Milley’s woke army, joined a Reddit battalion to fight in Ukraine & get laid; but he got more than he bargained for. This is his story of getting banged up abroad.

"Bohemicus" on the UkraineA popular Russian blogger's historical, cultural & geopolitical analysis of what's happening in Ukraine, written well before the war

Mar 17

21

14

The Small Life of Stuart Calvin Zabuzhko (by K. Krylov)Translation of a story by late Russian writer Konstantin Krylov, published in 2003 under the nom de plume Mikhail Kharitonov.

Apr 8

11

10

D. Galkovsky: "Good Bye, America!""Ultimately, it is America itself that is "on the cusp" and the question of the future world hegemon is now being decided. It turns out that the U.S. is…

Jan 4, 2021

4

1

See all

Ready for more?

Subscribe

2022 Russians With Attitude

Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice

Publish on SubstackGet the app

Substack is the home for great writing

Mnaofata propaganda pitien hapa
 
Kwakweli sikutarajia urusi kama angepata kipigo kiasi hichi, nakumbuka siku ya kwanza aliingia kyiv kwa mbwembe mara tukaambiwa ameshateka uwanja wa ndege pia tulionyeshwa bendera za urusi zikipepea siku ya kwanza baada ya hapo sjui hatma ya wanajeshi waliongia kyv ikoje, hivi bado wapo hai kweli
 
Team moja hapa kuna kitu inashindwa kuelewa.

Hakuna Cleansheet kwenye mapigano hasa yanayohusisha silaha. Hatukatai kua Russia anapoteza wanajeshi au vifaa vyake vya kivita. Isipokuwa mkiamua kujigamba juu ya hilo basi leteni data amilifu.

Inaweza kua sawa wakati wa mapigano kupika taarifa either kupandisha morali n.k lakini taarifa ikipikwa mbali zaidi kuliko uhalisia inakosa mashiko.

Taarifa mnazileta kwa watu wenye akili timamu sio wenda wazimu, it's ok 0.005 mnaweza kuikadiria kua 0.01 lakini 0.005 kua 2 ni habari nyingine.

Nasisitiza kua hakuna Cleansheet kwenye uwanja wa mapigano, Ushindi unatafsiriwa kwa matokeo ya mwisho.

Sikumbuki lini na wapi niliposikia kua Kharkov imechukuliwa na Russia, ila inafurahisha masikio yangu kusikia kua Kharkov imekombolewa kutoka kwa Jeshi la Russia.

Tunataka kusikia ushindi wa kama hivi;
✨Ukraine kakomboa Jeshi lake pale Mariupol waliojificha kiwandani.

✨Ukraine imekomboa Snake Island hivo kurejesha utawala ndani ya Black Sea.

✨Ukraine imerejesha bandari yake na kuweza kuendelea kufanya export ya bidhaa zake nje.

✨Ukraine imerejesha Kherson na vitongoji vyake.

✨Ukraine imeliondoa Jeshi lote la Russia ikiwezekana kuipiga Russia nchini kwake.

Like that,

Kinyume chake thread imekuwa ya kitoto hapana mfano.

But what's the point of claiming to be a Winner kila siku mwenzio ana advance kwa kuchukua maeneo kila kukicha. Hivi sasa a quarter ya eneo lote la Ukraine liko chini ya jeshi la Russia.

Hatuezi pia kusema kua Russia kashinda vita wakati bado mapigano yanaendelea.

Na we can't say Ukraine is totally defeated wakati bado wanapigana.

What we can say na kuthibitisha ni kua Russia is advancing kwenye Operation yake. Only that kwa sasa.

Hey marafiki na waswahili wenzangu, leteni hoja tujadiliane kiutu uzima huo ushabiki haubadilishi uhalisia huko uwanja wa mapambano.
 
Kwakweli sikutarajia urusi kama angepata kipigo kiasi hichi,nakumbuka siku ya kwanza aliingia kyiv kwa mbwembe mara tukaambiwa ameshateka uwanja wa ndege pia tulionyeshwa bendera za urusi zikipepea siku ya kwanza baada ya hapo sjui hatma ya wanajeshi waliongia kyv ikoje,hivi bado wapo hai kweli
Na bado, walikuwa wanambeza mchekeshaji.
Screenshot_20220514-125817_1.jpg
 
Majeshi ya Ukraine hayana tactics ...wenzao wanarudi nyuma kimtindo Sasa ili wawazingire Sasa hao ukraine wanakimbiza utadhani wanakimbiza swala wasijue kuwa it is a trap😂😂😁😁interesting indeed

Kweli hawana tactics? Kumbe kama ni watu wasio na mpango, ni ajabu jinsi gani walivyofukuza jeshi la Putin kutoka Kyiv.

Na Putin alipeleka vikosi vyake ili wauawehuko Kyiv kimtindo? Hekima, hekima kupita kiasi.

Na majenerali wa vitandani wa Ubongo wanaona ukweli (kwa sababu ni dhahiri kabisa), lakini hao wa Ukraine hawaoni kitu??? Basi tunaona marudio ya habari za Mwanzo 19,11, ambako watu "wakapigwa kwa upofu".

Maajabu, maajabu matupu.
Ila siamini.
 
Salam kwa wale wanaosema vikwazo vimemuathili mrusi
In April, Russian oil exports climbed by 620,000 barrels per day from the prior month to 8.1 million, back to their January and February average.
Tarakimu si ajabu, makampuni yalijaribu kujaza akiba kabla ya vikwazo kung'ata. Rudi utakapopata namba za Mei.
 
Nilikuuliza swali una lijua bomb linaitwa
Father of All Bombs!? Nikaona unachanja mbuga. Tunapoonglea Russia unatakiwa uielewe hiyo nchi.

Ipo miaka mingi kabla hata ya USA kuwepo. Na kumekuwa na migogoro kati yake na majirani miaka na miaka. Na urusi wamekuwa wakipambana karne na karne. Je unaijua sababu ya migogoro hiyo!?

Migogoro hiyo inatokana na hazina kubwa iliyomo ndani ya ardhi ya Urusi. Mataifa ya ulaya yamekuwa yakidondosha udenda kuweza kumilk ardhi ya Urusi. Taifa lolote likiweza kuidhibiti urusi litakuwa tajiri na kiranja wa dunia.

Hawa warusi wamekuwa wakipigana vita miaka na miaka.
1. Wamepigana na Mongols
2. Wamepigana na Persian empire
3. Wamepigana na Napoleon (France empire)
4. Amewahi kuwa gonga mjumuiko wa England, France na takata.
5. Amewahi kuwagonga Ottoman Empire.
6. Amewahi muwagonga wajapani.
7. Amewahi kuwagonga Astro-Hungary empire.
8. Alingonga Hitler second wolrd war.

Orodha ni ndefu mno. Hao warusi wanacholigania ni maslahi ya nchi yao tu. Ukikaa nao vizuri hawana shida na mtu.

Poland anawajua warusi, Finland anawajua warusi, Sweden anawajua warusi.

Hizi nyege wanazozionesha nakuhakikishia zitawatokea puani.
Fanya yote lakini usimchokoze mrusi.
Mkuu acha kujifariji na story zako.
Hii Dunia inahistoria ndefu na ilishakaliwa na wababe wengi kwa nyakati tofauti.
Kjlishakuwa na dola ya kigiriki kkafanya zake kwa kiwango cha ubabe wake ikaanguka na kupita kwa zama zake. Kulikiwa na Dola la Kirumi kwa wakati waka likafanya yake kwa u babe wake na likapita kutokana na zama zake.
Bahati mbaya huyo Mrusi hakuwai kufikia viwango vya wababe hao wa dini yeye akiwa na USSR hakuweza kuiconka hii planet A kwani hakubahatika kuwa na vigezo vya kutosha.

Kwa sasa ukubali ukatae hizi ni zama za USA na hilo halina ubishi na huyu mwamba US hakuwai onyesha kucha zake mkajua Uimara wake. Laiti nakwambia Siku kima mmoja akajichanganya eidha kwa bahati mbaya au makusudi ndio mtajua ni kwanini mnyama US huwa hataki kupigana moja kwa moja.
Kama ulisha wai sikia B2 na siku zikaambiwa ziingie mzigoni, hapo bado hujagusa mizigo mingine toka bahari tofautitofauti.

Binafsi tunapoizungumzia Urusi tunapaswa ukilinganisha na kina UK, France, Germany, Korea na China. Ila huyu Mnyama US tumwache kabisa kwani hapo hatuzungumzi Nuclear power kisha tukaishia hapo na kuanza kutishana.
US ni mambo ya Economy, Tec, Intelligence nk.

Kwa sasa tuendelee kutazama hii filamu na kuinjoi jinsi Mbuzi anavyomtafuna MBWA Polepole kwa raha zake
 
Na bado, walikuwa wanambeza mchekeshaji. View attachment 2224126
Nikifikiria issue ya Afghanistan huwa nabaki nawaza watu kama wewe sijui mnafikiria kwa kutumia kiungo gani mwilini

War in Afghanistan With USA and Allies
7 Oct 2001 – 30 Aug 2021

The War in Afghanistan was a conflict that took place from 2001 to 2021 in the South-Central Asian country of Afghanistan. It began when the United States and its allies invaded Afghanistan and toppled the Taliban-ruled Islamic Emirate of Afghanistan.
 
Kwakweli sikutarajia urusi kama angepata kipigo kiasi hichi,nakumbuka siku ya kwanza aliingia kyiv kwa mbwembe mara tukaambiwa ameshateka uwanja wa ndege pia tulionyeshwa bendera za urusi zikipepea siku ya kwanza baada ya hapo sjui hatma ya wanajeshi waliongia kyv ikoje,hivi bado wapo hai kweli
Game linaanza dak ya 20 ushapigwa 6 za haraka. Badala ya kujikita kurudisha magoli unajikita kupunguza speed ya kufungwa.

Dakika ya 80 ubao unasoma 8 kavu, hujarudisha goal unajisifu kupunguza speed ya kufungwa kwamba toka dk ya 21 hadi 80 opponent kafunga mawili tu kisha ukijinadi kama ni udhaifu wa team unayocheza nayo.

Then unatangaza ushindi huku upo nyuma kwa deficit isiyo ya kawaida.

Duh Huko ndio Great thinker wa JF mlikofika, its amazing.

Hongereni kwa kweli.
 
Back
Top Bottom