Utakuwa umezaliwa 92"
ogopa yanga anang'ata
byebye upinzani.
hii ni fact chungu sana kwa wanaotegemea ugali upinzanini. Ila inaeleweka mapema kwa wasoma trend. Labda muujiza wa joka hilo kutoweka.
hayo anajua Mungu anayeijua kesho yako na ya Tanzania.
sisi ni porojo tu kuchemsha bongo. Maana mawazo na mipango yetu sio Yake na njia zake hazichunguziki.
Naona mnajidai hamuelewi...CCM inang'ata balaa! Upinzani umeng'atwa wote.
Ruksa kila mtu kuelewa kivyake
Nilichoelewa kwa hiyo katuni ni kwamba ccm ni joka linalomeza democrasiaRwanda wanaogopa hata kivuli chao
Kuisoma namba hakuangalii rangi ya mtu, na kijani wanaisoma tu tena sanaHii picha inahitaji mtu mwenye kuishughulisha akili yake bila kukurupuka,asante sana KipanyaView attachment 890751
Kuisoma namba hakuangalii rangi ya mtu, na kijani wanaisoma tu tena sana
Joka linameza tu limeshiba na bado linataka tena, who will be next
Asante ya nini sasaHii picha inahitaji mtu mwenye kuishughulisha akili yake bila kukurupuka,asante sana KipanyaView attachment 890751
Kwa picha mzuri sanaAsante ya nini sasa
Kuisoma namba hakuangalii rangi ya mtu, na kijani wanaisoma tu tena sana
Nilichoelewa kwa hiyo katuni ni kwamba ccm ni joka linalomeza democrasia
Ungejua wanavyoponda utaratibu wa wahamiaji kufanikiwa kuliko wenyeji, usingesemaWao haiwagusi maana rangi yao inanguvu kama ya kinyonga
CCM inang'ata balaa! Upinzani umeng'atwa wote.
Ruksa kila mtu kuelewa kivyake
Ina maana wanalazimishwa kuwapokea hao wahamiaji?Ungejua wanavyoponda utaratibu wa wahamiaji kufanikiwa kuliko wenyeji, usingesema
Ndiyo ujue ni jinsi gani anavyotishaNyoka mwenye Jicho MOJA?
wachawi utawajua tu,unafurahia picha ya nyoka!Kwa picha mzuri sana
Nafurahia sanawachawi utawajua tu,unafurahia picha ya nyoka!
Kamanda kwa hiyo unakiri kabisa kuwa tanzania kuna demokrasia ya kupigiwa mfano?Kibonzo hicho kwa Rwanda ni miaka 7,bado kidogo tutacopy hizo sheria kutoka kwa role model wetu "kagame"!