Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Wachawi ni hao na familia zao na walivyo na roho mbayawachawi utawajua tu,unafurahia picha ya nyoka!
Wachawi ni hao na familia zao na walivyo na roho mbayawachawi utawajua tu,unafurahia picha ya nyoka!
Kagame Kagame KagameKamanda kwa hiyo unakiri kabisa kuwa tanzania kuna demokrasia ya kupigiwa mfano?
byebye upinzani.
hii ni fact chungu sana kwa wanaotegemea ugali upinzanini. Ila inaeleweka mapema kwa wasoma trend. Labda muujiza wa joka hilo kutoweka.
Usiniwekee maneno mdomoni!Tumeanza na sheria ya mtandao kwa hati dharura,ikaja sheria ya takwimu,tutafika tu kwenye sheria ya vibonzo!Kamanda kwa hiyo unakiri kabisa kuwa tanzania kuna demokrasia ya kupigiwa mfano?
Hii picha inahitaji mtu mwenye kuishughulisha akili yake bila kukurupuka,asante sana KipanyaView attachment 890751[/QUshetani
Chama Cha kijaniShetani huyoooo
Maana yake ccm ni nyoka mwenye sumu kali , mfano wa kobokoHii picha inahitaji mtu mwenye kuishughulisha akili yake bila kukurupuka,asante sana KipanyaView attachment 890751
Ulitaka macho yote yaonekane upande mmoja?Nyoka mwenye Jicho MOJA?
Maana yake ccm ni nyoka mwenye sumu kali , mfano wa koboko
Ulitaka macho yote yaonekane upande mmoja?
Ni shetani mkuuCCM ni nyoka!
Comments from Lumumba FC zinadhihirisha kwamba mostly ni std seven.....byebye upinzani.
hii ni fact chungu sana kwa wanaotegemea ugali upinzanini. Ila inaeleweka mapema kwa wasoma trend. Labda muujiza wa joka hilo kutoweka.
Kwa kuchora katuni inayofikirisha....Asante ya nini sasa
Tatizo huyo mng'ataji ni shetani.CCM inang'ata balaa! Upinzani umeng'atwa wote.
Ruksa kila mtu kuelewa kivyake
Unamaanisha kama huyu mkuu?Maana yake ccm ni nyoka mwenye sumu kali , mfano wa koboko
Eenhee huyo huyo mkuuUnamaanisha kama huyu mkuu? View attachment 891002
mkuu unatafsiri picha au comments zetu. nikisema ulikimbia umande wa chekechea ntakuwa nimekuonea mkuu kamanda wanguComments from Lumumba FC zinadhihirisha kwamba mostly ni std seven.....