Mtanzania wa kawaida amezamishwa kwenye kuna cha maji hawezi kuongea na mkono ni vyombo vya usalama mguuni kamanda Sirro anakung’ata ukileta za kuletaSky, sijaelewa please
Huwezi kujifunza kuogelea kwa kusoma jinsi ya kuogelea bila kuingia kwenye maji yenyewe. Hata mtoto huanza kujifunza kuogelea kwenye beseni analooshewa halafu ataenda shallow water kwenye kibwawa hivi atachezea maji ya mvua ataelekea swimming pool ya watoto then deep pool then mitoni maziwa na then deep sea bahari huko. Kila kitu kikichelewa ukitupwa deep sea huwezi kutoka. You will drown. "Elimu ya kuogelea" tuliipuuza na sadists walitunyina na hawataki watupatie kwa sababu hawataki tujue kuogelea. It is their pleasures to see us in pain.Duuh, dawa ni kujifunza kuogelea tuu.
Unaenda deep unaukimbia huo mkono unaibukia kwa mbele. Ila tuu uwe na pumzi za kutosha.
Mkono wa chuma! asante sanaMtanzania wa kawaida amezamishwa kwenye kuna cha maji hawezi kuongea na mkono ni vyombo vya usalama mguuni kamanda Sirro anakung’ata ukileta za kuleta
Cha ajabu ni kuwa mtoto huwa anaogelea tumboni mwa mama yake. Wataalamu wa watoto hushauri mtoto afundishwe kuogelea ndani ya miezi mitatu ya kwanza anakua hajasahau skills za tumboniHuwezi kujifunza kuogelea kwa kusoma jinsi ya kuogelea bila kuingia kwenye maji yenyewe. Hata mtoto huanza kujifunza kuogelea kwenye beseni analooshewa halafu ataenda shallow water kwenye kibwawa hivi atachezea maji ya mvua ataelekea swimming pool ya watoto then deep pool then mitoni maziwa na then deep sea bahari huko. Kila kitu kikichelewa ukitupwa deep sea huwezi kutoka. You will drown. "Elimu ya kuogelea" tuliipuuza na sadists walitunyina na hawataki watupatie kwa sababu hawataki tujue kuogelea. It is their pleasures to see us in pain.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka nasamaki anashangaa!!!Mtanzania wa kawaida amezamishwa kwenye kuna cha maji hawezi kuongea na mkono ni vyombo vya usalama mguuni kamanda Sirro anakung’ata ukileta za kuleta
It’s a matter of time tutamsahauKwani huyo Dgo anagandamizwa au anaokolewa??
Huyu ni mvuvi, ndani ya maji samaki ni wachache na wanapatikana kwa tabu na kwa kuhatarisha na wakati mwingine kujeruhiwa na viumbe/wanyama hatari lkn mtu aliyoko juu anaetakiwa kukusaidia anafikiri unapata sana hivyo anaendelea kukukandamiza zaid badala ya kutoa msaada *mpina vs uvuvi* kwa mujibu wa picha.
Asante sanaHuyu ni mvuvi, ndani ya maji samaki ni wachache na wanapatikana kwa tabu na kwa kuhatarisha na wakati mwingine kujeruhiwa na viumbe/wanyama hatari lkn mtu aliyoko juu anaetakiwa kukusaidia anafikiri unapata sana hivyo anaendelea kukukandamiza zaid badala ya kutoa msaada *mpina vs uvuvi* kwa mujibu wa picha.
Hapo ukifungua mdomo kulalamika kua unagandamizwa na kuumizwa unakunywa maji unakufa....