Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Calm and relaxed huku wengine tunapiga kelele nyingi. Anacho kinachomfanya aponde raha, tena kikubwa sana
 
ila mimi bado sijaielewa hii katuni mwenye elimu Zaidi anisaidie kui fafanua jamani kunauwezekano tulio wengi bado tumefungwa vichwa vyetu mwanzao mwisho
 
Masoud is genius, amepita mlemle dogo na miwani, suit ya Sheria Ngowi na smart phone mkononi
alafu amekaa ktk pozi ambalo hana wasiwasi sababu anajiamini na alichokiegemea...mguu mmoja kwa dharau kabisa.

genius art indeed.
 
Art is science!

Sent from my ONE TOUCH 4033D using Tapatalk
 
Masoud is genius, amepita mlemle dogo na miwani, suit ya Sheria Ngowi na smart phone mkononi
Ijumaa PCCB walikwenda nyumbani kwake/kwao sehemu inayoitwa Igoma - Nyamagana Mwanza. Kilichojiri nitawasimulia, ngoja kwanza nikale ugali wa mawele hapo kwa bibi Nyamajeje
 
ila dogo anapata wapi confidence hivo sana.Alafu kaeka na kamguu kake hapo kabisa na kilongalonga chache aisee alafu amenyoa kiduku looo.Aisee wahenga wanasema GANDA LA MUA LA JANA CHUNGU KAONA KIVUNO
 
Huyo ni naibu rais
 
Back
Top Bottom