Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
haswaaaDuuh, dawa ni kujifunza kuogelea tuu.
Unaenda deep unaukimbia huo mkono unaibukia kwa mbele. Ila tuu uwe na pumzi za kutosha.
haswaaaDuuh, dawa ni kujifunza kuogelea tuu.
Unaenda deep unaukimbia huo mkono unaibukia kwa mbele. Ila tuu uwe na pumzi za kutosha.
Zaidi ya hapo risasi wakirusha polisi inakata kona na kuua mwanafunzi. Ajabu kesi inabebwa na viongozi wa upinzani.Sijawahi kuona wala kuskia kapanda kizimbani.....zaid wanaishiaga tu kusema uchunguzi unafanyika then yanapotea chini kwa chini
Hakuna usiku usio kucha.......time will tellZaidi ya hapo risasi wakirusha polisi inakata kona na kuua mwanafunzi. Ajabu kesi inabebwa na viongozi wa upinzani.
China anavyoifaidi Afrikahahahaha japo sijaona kitu