Sijaelewa
Kule tweeter alitweet..namnukuu"bado mnasubiri?..wahenga walisema subira yavuta heri!..na Jery Muro akaongezea whtsapp..kuwa ni rahisi kwa mkulu kumtumbua PM kuliko DAB..hawajakutana barabarani..kweli kazi ipo!Huyo ni naibu rais
Vipi kuhusu kidukuMasoud is genius, amepita mlemle dogo na miwani, suit ya Sheria Ngowi na smart phone mkononi
Baba akimgusa tu, dogo anafungua begi, yaani mzee anatafakari amfanye Nini?Kijana wa kileo yuko bize na smartphone mzee anawaza lile begi lake la siri alilompa amtunzie lipo salama ila akigeuka hapo ataona begi la siri kijana hana habari yupo bize anawasapika kweli huyu kijana kamtia mzee matatizoni sana ila mzee alionywa mapema akasubaza shingo kula bata kijana ndio njia ya kudeal na wazee wasiojitambua kama hawa.
Huyo ni Mtanzania amba amenyamazishwa kwa nguvu za dola asiseme chochote
Akili za kumaaa hiziUpinzani unazamishwa apo
Its so sad and terrifyingHuyo ni Mtanzania amba amenyamazishwa kwa nguvu za dola asiseme chochote