Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Mfuate KIPANYASasa huyo mbwa au mbweha!
Mfuate KIPANYASasa huyo mbwa au mbweha!
Kwa huyu raisi tuliyenae disemba haifiki Chadema chalii.Ndoto za mchana
Hongera sana albadiri maana mmeanza kusema dhamira yenu juu ya wapinzaniKwa huyu raisi tuliyenae disemba haifiki Chadema chalii.
NGULI kama ni Kiswahili sahihi, kama ni lugha nyingine inayokaribiana na Kiswahili waweza tumia neno lolote lile linalokaribiana Na KiswahiliNasisitiza ni NGURI
Hao ndio viongozi wetu tuliyo nao na hakuna mtu wa kukemeaKiongozi unadhamiria kupiga watu kama mbwa koko kweli na unatangaza hadharani!!
😀😀 eti albadiri!!Hongera sana albadiri maana mmeanza kusema dhamira yenu juu ya wapinzani
Utajaza mwenyewe😀😀 eti albadiri!!
Sasa hapo ndiyo umeandika kitu gani?au ndiyo unaikimbiza buku 7?
Hujaona ile skafu ya yule blood thirsty kutoka iramba?Si ndo waandamanaji wanaojifanya wazalendo sana na nchi yao.
Angalia usishikwe shangaShikilia hapo hapo raisi wangu.
Utalàzwa wewe çhali kama kawaida yako.Kwa huyu raisi tuliyenae disemba haifiki Chadema chalii.