Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,233
- 98,194
Kwa akili ya koromijembwa koko aliyevaa uzalendo uchwara hata nguvu ya kubweka hana, sembuse ya kuandamana..
Kwa akili ya koromijembwa koko aliyevaa uzalendo uchwara hata nguvu ya kubweka hana, sembuse ya kuandamana..
Limenikumbusha Mwakyembe juzi bungeni.Alitaka kusema pesa hakuna siku hizi akamkumbuka Jiwe Ponda Mali akabaki anaitwa macho kama Mjuzi alobanwa na mlango.Kwa waelewa tutamuelewa msanii nguri KIPANYAView attachment 760177
Na tunashangilia sanaaTunakufa na tai shingoni [emoji23][emoji23]hiihiii
Atajuta kwa matamshi yale bado anavutiwa nguvuLimenikumbusha Mwakyembe juzi bungeni.Alitaka kusema pesa hakuna siku hizi akamkumbuka Jiwe Ponda Mali akabaki anaitwa macho kama Mjuzi alobanwa na mlango.
Anamaanisha mbwa koko ni yule mnyiramba.Kwa waelewa tutamuelewa msanii nguri KIPANYAView attachment 760177
Mtanyooka tuHuyo muandamanaji kaufyata na uzalendo uchwara wake.
Hasa ile ya 1.5TrilionWacha tujifariji na kipanya baada ya maandamano, siasa ,nyaraka za maaskofu zote kuwa ngumu!
Kwa hivyo Lumumba sasa mmegeuza kibao? Wazalendo si jiwe na slowslow tena, bali ni wanaandamanaji?Huyo muandamanaji kaufyata na uzalendo uchwara wake.
Siyo kwamba alivyozuga ameua soon?Atajuta kwa matamshi yale bado anavutiwa nguvu
Siyo kwa jiweSiyo kwamba alivyozuga ameua soon?
Jiwe nomwaaaaaa,anataka anakipiga peke yake.Siyo kwa jiwe
Mwigulu imekuwaje leo anatembelea mikono? Halafu amedondokea kwenye nini? Lami?Anamaanisha 'Mbwa Koko' wamekonda kinoumaah Na Bendera ya Taifa Shingoni kuashiria Uzalendo uchwara