Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,778
- 13,684
hahaa hatari mnoooMbwa mwenyewe sijui kakata gogo naona nzi kibao.
Ana utapiamlo, safura na vidonda kibao. So hao uzi wanomng'ong'a hayo madonda hapo angalau nao wapitishe siku.Mbwa mwenyewe sijui kakata gogo naona nzi kibao.
Kwani ni mbwa koko huyo??Huyu nae anataka kupitiliza sasa......SI BUSARA KUMFUNGA MBWA BENDERA YA TAIFA...hii ni dharau kwa nchi yetu na ni tusi kubwa
Utaambiwa unamchafua..Jf ya sasa haitaki mtu atoe constructive criticism, utajibiwa majibu hadi ujute kuleta uzi.