Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Hahahahahhahahahahhaha......teh teh teh teh, dah nimemkumbuka mzee Ole yule wa gazeti la Sani. Alikuaga ni kubwa la maadui msaidizi wake anaitwa Zumo na steringi ni Obi, hilo ndio lilikua cheko lake. Hii nchi raha sana wallah tumepatikana this time.
 
Napendekeza:

Uanzishwe Uzi maalum wa Katuni za Kipanya.

Huyu jamaa katuni zake sipendi zinipite
 
Kwa waelewa tutamuelewa msanii nguri KIPANYA
FB_IMG_1525000080558.jpg
 
Back
Top Bottom