kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,497
- 5,186
Kipigo cha mbwa kokoKwa waelewa tutamuelewa msanii nguri KIPANYAView attachment 760177
Kipigo cha mbwa kokoKwa waelewa tutamuelewa msanii nguri KIPANYAView attachment 760177
nenda kamfungue huyo mbwa koko basi chief ukaifunge kwenye mlingoti...Huyu nae anataka kupitiliza sasa......SI BUSARA KUMFUNGA MBWA BENDERA YA TAIFA...hii ni dharau kwa nchi yetu na ni tusi kubwa
Huyu nae anataka kupitiliza sasa......SI BUSARA KUMFUNGA MBWA BENDERA YA TAIFA...hii ni dharau kwa nchi yetu na ni tusi kubwa
Huyu nae anataka kupitiliza sasa......SI BUSARA KUMFUNGA MBWA BENDERA YA TAIFA...hii ni dharau kwa nchi yetu na ni tusi kubwa
Kwani mbwa ana nini mpaka asifungwe kitambaa cha bendera ya taifa?na ni wapi imekatazwa ?Huyu nae anataka kupitiliza sasa......SI BUSARA KUMFUNGA MBWA BENDERA YA TAIFA...hii ni dharau kwa nchi yetu na ni tusi kubwa
nenda kamfungue huyo mbwa koko basi chief ukaifunge kwenye mlingoti...