Siunaona hilo shati ni kijaniHilo jibu la CAG wa CCM bwana polepole linafuraisha sana,eti ilikuwa haijaiva!!![]()
Anapiga hesabu za ujanja ujanja.Hilo jibu la CAG wa CCM bwana polepole linafuraisha sana,eti ilikuwa haijaiva!!![]()
Haaaaaaa haaaaaaaa chezeya KipanyaHa ha ha aa... Duuhh.. Kwakweli!
Elimu haina mwishoView attachment 753762
Kwani hapo kamtaja mtu yeyote?Nahisi siku za kipanya zinaanza kuhesabika, muda sio mrefu serikali itapiga marufuku vikatuni vyenye harufu ya kichochezi.
Tukimaliza gugo, wasapu, online TV na blogs tutahamia magazeti na katuni.
