rashidymdoe
Member
- May 16, 2017
- 79
- 45
Yuda wa eskarioti yupo hapo hapo
Vipi nawe upo humo?
Hakuna mjinga kuliko lumumba fcHapana ndio maana nimebaini wengi wenu ni majinga
Richmond imeenda na nani? Mbona mpaka leo watu wanakula bata tu!hii hatutasamehe wala kusahau.
lazima fupa hili liende na mtu kama Richmond ilivyoenda na mtu!!
ilimng'oa mtu kwenye u-PM, remember?Richmond imeenda na nani? Mbona mpaka leo watu wanakula bata tu!
Ngoja tuone ila hata hivyo bado magumashi tu kwenye ishu Kama hizo, nchi nyengine angeshawajibishwa siku nyingi. Kama ni jela Au kunyongwailimng'oa mtu kwenye u-PM, remember?
who knows.... hii 1.5tr inaweza kumng'oa mtu kutoka juu hadi shimoni!
kumng'oa tu kunatosha. Watanzania hatutaki shari. tunataka watu waadilifu tu.Ngoja tuone ila hata hivyo bado magumashi tu kwenye ishu Kama hizo, nchi nyengine angeshawajibishwa siku nyingi. Kama ni jela Au kunyongwa
Tunataka watu waadilifu kama huyu aliyekwapua 1.5 Trii chini ya miaka yake 2 ya kunyoosha Tanzania...kumng'oa tu kunatosha. Watanzania hatutaki shari. tunataka watu waadilifu tu.
huyo tunakuachia wewe.Tunataka watu waadilifu kama huyu aliyekwapua 1.5 Trii chini ya miaka yake 2 ya kunyoosha Tanzania...
Jiwe kamwe haling'okiilimng'oa mtu kwenye u-PM, remember?
who knows.... hii 1.5tr inaweza kumng'oa mtu kutoka juu hadi shimoni!
Jiwe lina mizizi mirefu sanaNgoja tuone ila hata hivyo bado magumashi tu kwenye ishu Kama hizo, nchi nyengine angeshawajibishwa siku nyingi. Kama ni jela Au kunyongwa
1.5tr itang'oa chuma cha pua - achilia mbali jiwe!Jiwe kamwe haling'oki
Huu ndio usanii haswa hata wale wa kumhitaji uhamiaji wanashindwa pa kuanziaHako kamfupa na Uma ni T(trillion) kipanya mjanja sana
Hiyo itakuwa ni ushindi wa wanyonge wanao ishi maisha ya kishetani1.5tr itang'oa chuma cha pua - achilia mbali jiwe!
Labda waliojitoa ufahamu AKA MAZWAZWA ndiyo watasahau huu wizi mkubwa katika historia ya nchi yetu kuliko wizi wowote mwingine wa kubwa la majizi na genge la majizi wenzie.
Rafiki kwa ajili ya maandalizi ya ishirini ishirini..........inauma lakini ndio hivyo ishakuwa
kabisa kabisa mkuu!Hiyo itakuwa ni ushindi wa wanyonge wanao ishi maisha ya kishetani