Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,715
Kimara mbezi kibamba hilo tingatinga linafanya vitu vyake
Mi nimeona Kifusi na Tingatinga!View attachment 735969
Mzee Kijanakipanya leo ndo nimemuona Kwa mara ya kwanza kwenye ugawaji wa tuzo za malkia wa nguvu kumbe ndo alivyo
mtu mzima kabisa mm nilijua ni kichali kama akina kibaMzee Kijana
Mkuu yaani umeeleza kama wewe ndo umechora hicho kibonzo ,,,, nimeielewa sanaa,,, na ni kweli maana miongoni mwa wanaocheza juu ya kifusi nahisi nami nipo simuelewi ngosha chochote anachokifanya wallahIko hv. Magufuli anahangaika kujenga au kusafisha saiti (ku-clear site) lakini kuna mitoto au watu wanacheza juu ya kifusi na wengine wamepanda na wanacheza kwenye kijiko sasa badala ya yeye kuendelea na kazi anabaki kukimbizaa nao.
Kwa ufupi ni kwamba hawaelewi ni nini anachofanya wanadhani ni mchezo tu.
My Note. HILI NI KWELI na Masoud ni jinias kweli.

Teh teh. Wabongo shida sana ndo maana anakuwa mkaliNimekuelewa mkuu, tafsiri mrua kabisaa au wewe ndo kipanya mwenyewe vipi!!!?
Halafu wakati anahangaika na hao wanacheza kwa kifusi wengine wanakuja nyuma ya tinga na vikapu wanarundika tena michanga alikorekebisha Hahahahaha hatari sana
Hahahahaha kabisa kwa mchezo huo hata kama ningekua mimi lazima ninge wachapa.Teh teh. Wabongo shida sana ndo maana anakuwa mkali
Anasubiria hadi DAB awakilishe vyake vya kidatohuyu jamaa ana vyeti vya babu yake vya kuzaliwa
Hukuweka "?"huyu jamaa ana vyeti vya babu yake vya kuzaliwa