Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,298
- 40,100
Bulldozer hasikilizwi tena !!
Katoka kwenye hilo dude kuwaambia watu wampishe ... Ndo kwaaanzaaa wanaruka sarakasi ....[emoji38] wengine wameamua wapande kabisa kwenye bulldozer kuonyesha hawamwogop hawa ndo balaa[emoji26]
Sio hivyo tuu jamaa ana foka foka .. Ni kama washamzoea hivi !! Hii ndo balaa[emoji41] [emoji124]
Lastly jamaa anatumia akili kuliko nguvu we MTU buldoza ina honi kwa nini usipige !!?