Bila ya muongoza chombo.Naona wanahamisha vifusi
Bado natafakali mkuu hiki kifusi kinaenda wapiAngalia vzr
Mkuu umenisaidia kuelewa kwa hakika kabla sikuwa nimeng'amua chochote.The Bulldozer hawamsikilizi tena. Hawamwogopi, anapiga nduru wampishe ndo kwanza wanapiga sarakasi.
Wengine wamepanda kabisa tingatinga, ila wachache wanachota mafuta.
Sijui mwisho wake.
Nahisi hajui ni nini kinaendelea. Ni mtizamo tuuuu inaweza kuwa vingine.Na huyo mama kabeba ndoo vp
Ok!, kumbe, jamani mimi nilikuwa kapa kabisa.Iko hv. Magufuli anahangaika kujenga au kusafisha saiti (ku-clear site) lakini kuna mitoto au watu wanacheza juu ya kifusi na wengine wamepanda na wanacheza kwenye kijiko sasa badala ya yeye kuendelea na kazi anabaki kukimbizaa nao.
Kwa ufupi ni kwamba hawaelewi ni nini anachofanya wanadhani ni mchezo tu.
My Note. HILI NI KWELI na Masoud ni jinias kweli.
Mi nimeona Kifusi na Tingatinga!View attachment 735969
Yani Uwe na Bulldozer kwanini ushout piga horn au somba kifusi. Hiyo ndo anataka sema tumia akili sio miguvuleo kaniacha mianzini kabisa nashangaa taa ebu aje anitoe hapa mapema
NimekusomaThe Bulldozer hawamsikilizi tena. Hawamwogopi, anapiga nduru wampishe ndo kwanza wanapiga sarakasi.
Wengine wamepanda kabisa tingatinga, ila wachache wanachota mafuta.
Sijui mwisho wake.