GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,059
- 126,638
SAWA MKUU. ASANTE KWA UDADAVUZI
Kikianzishwa Chuo chochote cha ' Unafiki ' nchini Tanzania nenda kaombe Kazi ya kuwa ' Principal ' wake itakufaa mno.
SAWA MKUU. ASANTE KWA UDADAVUZI
HAPANA MKUU, UNAJUA SISI WENGNE NA MAMBURULA MKUU TUNAWATEGEME WATU WENYE IQ KUBWA KAMA WEWE MTUDADAVULIE NA MSELELEKE VITU KAMA HV VYA UCHORAJI.Kikianzishwa Chuo chochote cha ' Unafiki ' nchini Tanzania nenda kaombe Kazi ya kuwa ' Principal ' wake itakufaa mno.
U'r Purely TalentedNarudia tena siku yoyote ukishaona naandika post yoyote ile kisha mwishi namalizia na neno ' naomba niishie hapa tafadhali ' na naliwekea rangi Nyekundu jua ya kwamba hapo ndipo nimeishia na sihitaji tena swali la aina yoyote ile. Kwa mwenye akili nzuri, kubwa na za kuzaliwa atakuwa ameshanielewa tena vyema tu labda kwa Mjinga ( Ngumbaru ) au Mpumbavu ( Popoma ) ndiyo anaweza kila mara akawa hajui na anabaki tu kuuliza uliza.
Nimemaliza.
Uchochezi kama si majunguNgoja nianze ' Kuhuzunika ' mapema kama patatokea ' Utekwaji ' wa aina yoyote ile wa Mtanzania yoyote muda wowote.
Tafsiri yake ni kwamba, kila mtu anajua kuwa ilikamatwaHuo mnyororo wa nini tena?
Huo mnyororo wa nini tena?
MASOUD ni akili kubwazDuuuuu
Angalia vzrNaona wanahamisha vifusi
Mi nimeona Kifusi na Tingatinga!View attachment 735969
Mkuu umepita mle mleThe Bulldozer hawamsikilizi tena. Hawamwogopi, anapiga nduru wampishe ndo kwanza wanapiga sarakasi.
Wengine wamepanda kabisa tingatinga, ila wachache wanachota mafuta.
Sijui mwisho wake.