KawaanikaHalafu?
Wacha mungu aitwe munguMungu Ni Mwema Wakati Wote
Kweli kabisaNahisi waliamua kufanya makusudi ili Wananchi Tujue nini? Kinaendelea baada ya Majigambo mengi kuwa Timedhibiti Mafisadi wote na mijizi
Tena kibaya sanaCcm ni kirusi!
Taifa litakuwa kama zimbabweNi zaidi ya EPA sijui hadi tunafika 2020 atakuwa katupiga kiasi gani
Ndiyo maana akaitwa msaniiila kipanya simuelew aisee.....kwenye radio pale asubuh ni kama yupo pamoja nao...lkn kweny katuni huku anakua tofauti fln hv......sasa sjui ni kwa nn
Huyu jamaa sijui kama hawatamuhitaji uhamiajiKipanya katika ubora wake
Wanaweza kumpima mkojoHuyu jamaa sijui kama hawatamuhitaji uhamiaji
