barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,804
Jamaa nahisi ni zao la ndom kupasuka.Wee jamaa akili zako ni shithole kabisa, kila kiingiacho kwako unadhani ni mavi tu...
wazazi wako wanahasara sana..!!

Tumekwisha wachoka na ngonjera zaoWanakuambia mgao utabakia kuwa historia
Labda vyerahaniSijaona Uongo Wa Waziri Ila Ndiyo Namna Ya Viongozi Watu Hapo Yupo Kwenye Fire Katika Utekelezaji Wa Majukumu
Viwanda 543 Singida
Manyoni 37
Pwani 371
MkuuLabda vyerahani
Masoud siku hizi anowaogopa ccm ...mpaka katuni zake azieleweki. ...anazidiwa na Said Michael wa DW.
Haaaahaaaaaaa! Jamaa anajimaliza mwenyewe lakini hata hashtuki.. Nadhani ni huo mvinyo ambao ni MADARAKA umemlevya kakosa hata ganzi..
Màsaburimbona kutumia akili sana kupata tafsiri?
utitiri wa kodi unao muangamiza mfanya biashara (wengi kufikia hatua ya kufunga) hapo ni sawa na kujila mkia
suluhisho ni kuanzisha vyanzo vingine vya mapato votakavyo rahisisha upatikanaji wa kipato kwa walio wengi na sio kuanzisha kodi mpya
Mbinyo katika maswala mbalimbali ikiwemo democracy kama vyama vya siasa vimavyo dai ni sawa na kujila mkia
humpandishi mfanyakazi daraja/humpi promosheni ma stahik zake kwa wakati kama sheria inavyo taka kwa visingizio anuai ni sawa na kujila mkia kwa sababu huyo mtumishi ndiye mwananchi ame cease kwa muda mrefu kimaendeleo.
swali ni je? akimaliza kujila mkia atahamia kiungo gani?
Atajila kichwa!!mbona kutumia akili sana kupata tafsiri?