Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Ifuatayo ndyo tafsiri ya hyo katuni kutokana na ufaham wangu;
1.Mtu anawakilisha serikali
2.Mtu anawakilisha viongozi wa vyama na serikali (upande wa chama tawala)
3.Damu inawakilisha watu wanaouawa ( hawa ni Watanzania na wanauawa na Watanzania wenzao waliopo madarakani)
4.Chupa inawakilisha ulevi wa madaraka
5.Mtu anawakilisha serikali na matendo yake mabaya,mfano umwagaji damu wa watu wake,kwa kuwa watu ndyo huunda serikali au nchi basi ni kama nchi inajitafuna yenyewe
6.Pia,mtu anawakilisha matajir,wafanyakazi na watu wa matabaka mengine sasa wanauawa na serikali kiuchumi mfano wengi wamepandishiwa kodi na hatimaye wamefilisika so,ni kama serikali imejimaliza yenyewe!
 
Afadhali umesema tafsiri ni yako, bavicha wataichukua hii kama ndio maana halisi.
 
Haya sasa
a60a07d9beddf60cfb2ea906e7a5acbf.jpg

LETE TAFSIRI MKUU, WEWE NI MTAALAMU WA KUDADAVUA MAMBO

Ukikoswakoswa na ' ajali ' kwa mara ya Kwanza yakupasa sasa uwe makini ili uweze kuziepuka ' ajali ' zingine zijazo ambazo zinaweza zikawa ni kubwa na za hatari zaidi. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
EBU ONGEZEA NYAMA KIDOGO, NANI ALIKOSWAKOSWA NA AJALI
 
Narudia tena siku yoyote ukishaona naandika post yoyote ile kisha mwishi namalizia na neno ' naomba niishie hapa tafadhali ' na naliwekea rangi Nyekundu jua ya kwamba hapo ndipo nimeishia na sihitaji tena swali la aina yoyote ile. Kwa mwenye akili nzuri, kubwa na za kuzaliwa atakuwa ameshanielewa tena vyema tu labda kwa Mjinga ( Ngumbaru ) au Mpumbavu ( Popoma ) ndiyo anaweza kila mara akawa hajui na anabaki tu kuuliza uliza.

Nimemaliza.
 
SAWA MKUU. ASANTE KWA UDADAVUZI
 
Back
Top Bottom