Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Tafsiri yake ni...

Ndege mjanja moja kashamalizwa kwa kunyonyolewa na kuwekwa ndani...

Ndege mjanja wa pili ameshanyonyolewa tayari na ndani kunamsubiri...

Hiyo picha imekaa kisiasa zaidi...


Cc: mahondaw
 
Huyo ndiye mchezaji wa soka anaye zitegemea mahakama badala ya referee
e314864491eb89a6feeef0323be065ab.jpg
 
Arosto ya mwenyekiti wetu iliyosababisha akimbizwe kcmc imeisha??

Huu ni wake wa kuacha ngada sasa.
 
Enock: Mwalimu kashasha unazungumziaje hii rafu?

Mwl Kashasha: Unajua enock mpira ni chemistry na hawa mabeki wawili walijaribu kukaba kwa combination na kwa bahati mbaya wakajikuta wamemweka kati nkurunzinza, kwa lugha ya kitaalam tunasema wamem-sandwich na mara moja refa alispot lile tukio na kuwaonyesha kadi nyekundu. Kwako Enock
 
Arosto ya mwenyekiti wetu iliyosababisha akimbizwe kcmc imeisha??

Huu ni wake wa kuacha ngada sasa.
Alosto wanazo hao wanao kimbilia kwa pirato badala ya kumalizana na refa uwanjani
 
Back
Top Bottom