Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Enock: Mwalimu kashasha unazungumziaje hii rafu?

Mwl Kashasha: Unajua enock mpira ni chemistry na hawa mabeki wawili walijaribu kukaba kwa combination na kwa bahati mbaya wakajikuta wamemweka kati nkurunzinza, kwa lugha ya kitaalam tunasema wamem-sandwich na mara moja refa alispot lile tukio na kuwaonyesha kadi nyekundu. Kwako Enock
Mwalm Kijo
 
Huyo ndiye mchezaji wa soka anaye zitegemea mahakama badala ya referee
e314864491eb89a6feeef0323be065ab.jpg
Rais ameanzaje kucheza mpira Na wananchi? Angekuja Dsm acheze Na Just Praise Me maana mentality zao zinafanana
 
Enock: Mwalimu kashasha unazungumziaje hii rafu?

Mwl Kashasha: Unajua enock mpira ni chemistry na hawa mabeki wawili walijaribu kukaba kwa combination na kwa bahati mbaya wakajikuta wamemweka kati nkurunzinza, kwa lugha ya kitaalam tunasema wamem-sandwich na mara moja refa alispot lile tukio na kuwaonyesha kadi nyekundu. Kwako Enock
 
Rais ameanzaje kucheza mpira Na wananchi? Angekuja Dsm acheze Na Just Praise Me maana mentality zao zinafanana
Hao ndio wangezitwanga kavukavu uwanjani
 
Lakini rafu ya mpira si inahukumiwa kwa kadi tu...sasa jela ya nini tena
 
Enock: Mwalimu kashasha unazungumziaje hii rafu?

Mwl Kashasha: Unajua enock mpira ni chemistry na hawa mabeki wawili walijaribu kukaba kwa combination na kwa bahati mbaya wakajikuta wamemweka kati nkurunzinza, kwa lugha ya kitaalam tunasema wamem-sandwich na mara moja refa alispot lile tukio na kuwaonyesha kadi nyekundu. Kwako Enock
Hahahahaha
 
Kamtembelee mwenzio huko mwaka huu lazima tumpeleke kliniki ya methadone...Makonda kawaumbua sana
Pia usisahau kuwa wananchi tunafungua hospital za kuwahudumia vichaa na wenye mihemuko
 
Enock: Mwalimu kashasha unazungumziaje hii rafu?

Mwl Kashasha: Unajua enock mpira ni chemistry na hawa mabeki wawili walijaribu kukaba kwa combination na kwa bahati mbaya wakajikuta wamemweka kati nkurunzinza, kwa lugha ya kitaalam tunasema wamem-sandwich na mara moja refa alispot lile tukio na kuwaonyesha kadi nyekundu. Kwako Enock
😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom