Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Badala ya kusaidia chama kinadidimia ni wewe na vikatuni tu safari hii lazima muungane na dkt titto mirembe!
 
Enock: Mwalimu kashasha unazungumziaje hii rafu?

Mwl Kashasha: Unajua enock mpira ni chemistry na hawa mabeki wawili walijaribu kukaba kwa combination na kwa bahati mbaya wakajikuta wamemweka kati nkurunzinza, kwa lugha ya kitaalam tunasema wamem-sandwich na mara moja refa alispot lile tukio na kuwaonyesha kadi nyekundu. Kwako Enock
Enock: Naam asante sana Mwl Kashasha kwa maelezo mazuri kuhusu kilichotokea hivi punde na kusababisha wachezaji wawili kuonyeshwa kadi nyekundu, lakini Mwl Kashasha rafu ya namna hii iliwahi kutokea huko nyuma.
Mwl Kashasha: Enock rafu ya namna hii aliwahi kuchezewa mchezaji anaitwa Kunde Yekete kwenye miak ya themanini.
 
Tunaelewa sasa kumbeeeee! !!!
FB_IMG_1521634586689.jpg
 
Back
Top Bottom