Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,353
Nyingine ilipata first class mjombamidege hiyo siti zote zimekodishwa na nyama ya mbuzi kwenda njee🤪
Nyingine ilipata first class mjombamidege hiyo siti zote zimekodishwa na nyama ya mbuzi kwenda njee🤪
Katuni huwa hazina tafsiri moja!Muda mwingine naonaga kama ananivuruga tu huyu masudi akili yangu. Likatuni ligumu kitafsiri hadi kero. Nisimbue akili kutafuta hela afu niangaike kutengua na vitendawili vya makatuni yake? Siwezi hiyo Kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaaah ukweliiii 100% hapa
Daaaaah ukweliiii 100% hapa
Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau










mheshimiwa sita kafariki bunge halina habari linakula bata tu
ni kikaragosi tu..burudaniNi Kipanya tena kaibuka na lile sakata jipya la CAG na Ndugai kumbe tatizo ni hilo hapo chiniView attachment 990885
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli...Kipanya wewe ni PhD holder hata kama haina machapisho.