Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,077
- 1,439
Ukianza kuona wenge tu unatafakari na unachukua hatuaWateule wake inabidi wawe makini sana,muda wowote anaweza kukutumia kama daraja,yeye akapanda na wewe ukashuka na kupoteza thamani.
Ukianza kuona wenge tu unatafakari na unachukua hatuaWateule wake inabidi wawe makini sana,muda wowote anaweza kukutumia kama daraja,yeye akapanda na wewe ukashuka na kupoteza thamani.
Kwani alichosema ni uongo?tunajua Kipanya ni mwanachama hai wa chama kile,hata kadi yake inajulikana
kwani alichosema ni ukweli,kwa miaka mitatu rais katoa 1.2 trilioni kwnda mifuko ya hifadhi halafu huyu jamaa anakuja na katuni zake ovyo ovyoKwani alichosema ni uongo?
kwani alichosema ni ukweli,kwa miaka mitatu rais katoa 1.2 trilioni kwnda mifuko ya hifadhi halafu huyu jamaa anakuja na katuni zake ovyo ovyo
Kama unaamini kaingiza 1.2trilion Basi pia unaamini alikuta sukari sh 5000/- kwa kilo,kwani alichosema ni ukweli,kwa miaka mitatu rais katoa 1.2 trilioni kwnda mifuko ya hifadhi halafu huyu jamaa anakuja na katuni zake ovyo ovyo
Uwa nashindwa kukuelewa. Uwa una matatizo ya akili au unajitoa ufahamu. Hayo maelezo yako na hyo katuni vinaendana?kwani alichosema ni ukweli,kwa miaka mitatu rais katoa 1.2 trilioni kwnda mifuko ya hifadhi halafu huyu jamaa anakuja na katuni zake ovyo ovyo
Bandiko lake halina ukweli?tunajua Kipanya ni mwanachama hai wa chama kile,hata kadi yake inajulikana
kwanini unataka niamini mifuko halafu nisimuamini JPM,amini unapoamini na mimi niamini ninapoamini mkuuKama unaamini kaingiza 1.2trilion Basi pia unaamini alikuta sukari sh 5000/- kwa kilo,
Usiwe kasuku kuchukua maneno Hata ya uongo, tumeambiwa kuwa kalipa deni lote ambalo ni 1.2 trillion wakati tunajua mifuko walisema wanadai 11triloin na JK alikiri wanadaiwa 8 trillion, wewe kasuku umechukua ya uongo, nakushauri uwe unafanya kautafiti binafsi kwanza kabla ya kupongeza.
mjinga wewe,katuni ni ya kikokotoo na maelezo yangu ni ya kikokotoo au hayo maelezo ni ya Airbus mkuu?Uwa nashindwa kukuelewa. Uwa una matatizo ya akili au unajitoa ufahamu. Hayo maelezo yako na hyo katuni vinaendana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nimekuelewa mkuu! Endelea kuamini huko, kwahiyo Hata sukari jamaa aliikuta 5000/-! Duuuukwanini unataka niamini mifuko halafu nisimuamini JPM,amini unapoamini na mimi niamini ninapoamini mkuu
Katuni inahusu magufuli kuwageuka watendaji wake.hayo maelezo yako ya kutoa matrilioni yameingiaje hapo?mjinga wewe,katuni ni ya kikokotoo na maelezo yangu ni ya kikokotoo au hayo maelezo ni ya Airbus mkuu?
Kwahiyo ukiambiwa na Rais kinyesi cha binaadam ni Chakula utaamini hata kama unajua ni uchafu!? Kutocomment pia ni busarakwanini unataka niamini mifuko halafu nisimuamini JPM,amini unapoamini na mimi niamini ninapoamini mkuu
Kwani swala ni hiyo ela tunayoaminishwa au kikokotooo.....haya bana na nchi yetu ya kusadikikakwani alichosema ni ukweli,kwa miaka mitatu rais katoa 1.2 trilioni kwnda mifuko ya hifadhi halafu huyu jamaa anakuja na katuni zake ovyo ovyo
kwa nini hadakwi nikuulize wewe mwenye mashaka naye!
sawa. kosa liko wapi? au tusubir risasi kama za lisu kwa kiwa anatumwa na mabeberu wanaochangia bajeti ya nchi?tunajua Kipanya ni mwanachama hai wa chama kile,hata kadi yake inajulikana
hili hata mtoto wa chekechea anajua kawageuka huku aliwatuma yeye! yaan huyu mzee akikuteua jua atakutumia atakavyo akikosea hesabu zake ww ndio kafara