Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Muda mwingine naonaga kama ananivuruga tu huyu masudi akili yangu. Likatuni ligumu kitafsiri hadi kero. Nisimbue akili kutafuta hela afu niangaike kutengua na vitendawili vya makatuni yake? Siwezi hiyo Kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_1821.JPG
 
Back
Top Bottom