BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,284
Kitenge full virala lakini amenunua ndege kwa cash money.Mavazi na anachokishangilia haviendani.
Ni kazi ya fasihi pia
]
Mitoto isiyo na shukran, midege mnaiona hiyo na mnalalamika vyuma vimekaza
Injinia Soma hiyoooooo,Instagram wameiondoa inawezekana NYUMBU wa LUMUMBA wameireport.Mbona picha haipo? au JF wameitoa?
Hata hapa kwenye uzi wa Sky Eclat imeondolewaInjinia Soma hiyoooooo,Instagram wameiondoa inawezekana NYUMBU wa LUMUMBA wameireport.
Itatua wapi]
Mitoto isiyo na shukran, midege mnaiona hiyo na mnalalamika vyuma vimekaza