Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 14,977
- 21,070
Usilolijua sawa na usiku wa giza! Hivi unaelewa "kujiuzuru" kwenye madaraka matamu ya kisiasa?Meck Sadik alikuwa na akili aliona mbali sana heri heshima kuliko fedheha,wanalinda tumbo wacha wadhalilishwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, huwa 'zimetembea' sana kwanza simu za kumshinikiza mtu achukue uamuzi na si kwa hiari kirahisi namna hiyo kama unavyodhania.
Huyo mzee aliwajibishwa ama kama mnavopenda kusema siku hizi, alitumbuliwa.
Fuatilia kwa kina utapata uthibitisbo
Sent using Jamii Forums mobile app

