mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 1,195
- 1,626
Jana jiwe kaabika vibaya sana
kutengeneza tatizo ni kama mifuko ya hifadhi ya jamii kuunganishwa wakazitungia kanuni, zikaleta balaa, ndio wakajifanya kutatua tatizo! kipanya yuko kwenye raiti traki!
Yani jana hata mtoto wa chekechea aliomuonea aibu jiwe
Uko sahihi sana mpaka umepitilizaJiwe kweli hana trauma? Am sure his childhood was abused
😁😁😁Mimi sina uzoefu wa kuzisoma picha sasa nawaomba magwiji mnao weza kusoma picha aliyo ichora Kipanya ina ujumbe gani jamani?View attachment 980583
Sent using Jamii Forums mobile app
hili hata mtoto wa chekechea anajua kawageuka huku aliwatuma yeye! yaan huyu mzee akikuteua jua atakutumia atakavyo akikosea hesabu zake ww ndio kafara