Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Alafu Mtu Kaenda Na Maji ! Hizi Siasa Ni Za Kuchezea Watu Akili. Wamepima Wakaona Watapoteza Nyingi Sana Zitaenda Kwa Wale Wa Upande Wa Pili. Ulikuwa Ni Mtaji Wa Kura Kwa Upande Wa Pili. Kama Ni Kulinda Kura Zisipotee Basi Na Kero Zingine Za Wananch Zilizoundwa Kwa Makusudi Yake Ziondolewe
 
bora kuzaliwa Kenya tu..wakenya hawana haya maujinga
 
Habari wanajamvi, binafsi nimekuwa muumini mkubwa wa katuni hasa kutafakari ujumbe wake. Hv karibuni kumekuwa na wachoraji wengi wakiongozwa na Masoud Kipanya.

Tushee katuni/vibonzo humu na kutafakari kwa pamoja jumbe zake.
IMG_20181228_205437.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikokotooo huyu Mary isaka alikuwa anajisikia sana pale ssra
 
Alafu Mtu Kaenda Na Maji ! Hizi Siasa Ni Za Kuchezea Watu Akili. Wamepima Wakaona Watapoteza Nyingi Sana Zitaenda Kwa Wale Wa Upande Wa Pili. Ulikuwa Ni Mtaji Wa Kura Kwa Upande Wa Pili. Kama Ni Kulinda Kura Zisipotee Basi Na Kero Zingine Za Wananch Zilizoundwa Kwa Makusudi Yake Ziondolewe
Hivi tunakaribia kwenye sanduku,matamko mazuri mazuri na mengine magumu ya wananchi yanaweza kurekebishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom