Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,611
- 8,098
Daah...! Kenya haya yanayofanyika mbona wangeanza kelele siku nyingi. Sisi tunaishi kama tuko shimoni kwenye hii nchi. Uhuru haupo,ukijaribu tu hata kusema chochote chenye maslahi kwa wengi wasiojulikana hawa hapa. Sasa hivi tunaamuliwa kila jambo na mtu mmoja tu,yaani kila kitu ni mtu mmoja tubora kuzaliwa Kenya tu..wakenya hawana haya maujinga
Sent using Jamii Forums mobile app

