Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Naona kuna kitu mtu mnamtafutia huyo m/kiti wa kikao hicho kwani wanaojadili ni members only. M/kiti hayupo
 
Mwenyekiti yupo ila kabaki na alama ya mshangao ina maana yupo kwenye sintofahamu,, anashindwa afanye lipi maana akimfukuza atamsumbua kama mjumbe anavyoonelea
 
Wamtume kwa baba, hapo watakuwa wamefaulu kwenye options zote mbili zinazowaumiza kichwa.
 
Bado hujajibu ulicho ulizwa
Siwezi kujibu maana aliyechora sikuwa naye na wala siwezi kujua alikuwa na mtazamo upi kwenye picture hiyo, kwa msaada alitakiwa kumtafuta Kipanya ili aweze kumsaidia kama anahitaji kujua.
 
Kile kiti cha pembeni bila shaka ni cha Jiwe.Sasa vile vingine sita sijui ni akina nani wale?
 
Nasikia jamaa ni Willy Gamba wa kutisha yaani kabla hujawaza kitu tayari ashakumaliza
Wapo lakini kumbuka Benard ni mshauri wa Serikali ya Zimbabwe katika maswala ya Usalama ndio utajua huyu jamaa anaielewa mizizi.
 
Back
Top Bottom