Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Sijui mzee wa kulia lia alikumbuka kubeba vifurushi vyake
IMG-20181110-WA0016.jpeg
IMG-20181110-WA0015.jpeg
 
Nadhani ifike mahali tuelewe tu kuwa zile nafasi ni kwa kila mtanzania mwenye sifa; hakuna aliyezaliwa nayo.

Jambo la msingi hapa ni kuitumikia kwa moyo wa uzalendo ikikufikia
 
😀😀😀😀😀😀😀😀
Mahindi tutakula wenyewe, koro wachukue tuu
 
Back
Top Bottom