hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,314
- 80,180
kweli !!?? anamaanisha kuwa jamaa katumwa " yaani huo waya lazima kuna Nyumba ambayo utakuwa unatokea " so ndio anataka amjue huyo mwenye hiyo nyumba ninani !?Kiukweli hiyo ya kufatilia waya ata mm nimetoka mweupe sio viongozi tu.