Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Waulize walipo wababe hawa angalau roho ya utu uwarejee
1. Hitler
2. Seseseko Mobutu
3. J. B. Bokassa
4. Jirani mwema Dada.
5. Kanali wa dunia Gaddafi

Wauaji hata misiba yao huwa haieleweki. Wengine wamefia ugenini na kuzikwa na watu sita.
Mnalia sana hayo yote yaliandikwa kwenye biblia tangu enzi na enzi mauaji yalikuwepo..
Sema tu kwakuwa sasa hivi huruma za kisiasa watu zinawatia mihemko..
Unamfahamu mtu mmoja aitwaye Raheli?
 
6. Kambarage Nyerere
7. Abeid Karume
 
Mnalia sana hayo yote yaliandikwa kwenye biblia tangu enzi na enzi mauaji yalikuwepo..
Sema tu kwakuwa sasa hivi huruma za kisiasa watu zinawatia mihemko..
Unamfahamu mtu mmoja aitwaye Raheli?
Mgiriki unahalalisha ubaya kwa ubaya ?!. Ikatokea unayoyataka basi wao watakuwa salama lakini si watoto na wajukuu zao [emoji40] [emoji87]
 
Tumuombee Kipanya isije ikawa keshapelekewa taarifa za vitisho na hizi ndio jitihada zake za kuwajibu watishiaji wake. Ni kwamba hata kama watamuondoa kwa SMG nao hawataishi milele! Nawaza tuuu!
 
Kipanya akiendelea kufuatilia yanayojiri.
hj.PNG
 
mapato ya nchi yameshuka huko aende pia akafuatilie
 
hahaha kwahiyo tukisikia jipya leo habari za korosho zinazimwa
 
Inafaa tumuone mama wa huyo mtoto sasa,maana hata mama yake madenge aliishaonekana.
 
bila haya matukio kiukweli miaka 3 isingeisha kirahisi hivi yaani unaisoma T2015 JPM huku unaanglia series ya kikorea
 
Back
Top Bottom