Madhara yapi yaliyotokea pale Marekani ilipo kuja kuchunguza ulipuaji wa ubalozi wao Dar?.au ulikuwa hujazaliwaJe unajua madhara ya kutumia vyombo vya nje kuja kuchunguza Mambo yenu ya ndani?
Madhara yapi yaliyotokea pale Marekani ilipo kuja kuchunguza ulipuaji wa ubalozi wao Dar?.au ulikuwa hujazaliwa
Hivi vijana wa lumumba na maboss wao nao walitaka mo apatikane? nauliza mana naona wakifurahiya kupatikana kwake lakn sikuwaona wakipasa saut alipokuwa mateka
Tunaendelea kupata madini kutoka kwa msanii machachali wa katuniView attachment 905148
Mtaishia hivyo hivyo kuwapiga risasi wasema ukweli.Kipanya Muhuni
Je unajua madhara ya kutumia vyombo vya nje kuja kuchunguza Mambo yenu ya ndani?
Huyo ni muathiliwa wa chakubangaUsikubali kumezeshwa ujinga!
Huyo ni muathiliwa wa chakubanga
Unakuta mtu mzima kabisa anamezeshwa mambo ya kipumbavu na anakubali kuyameza kama yalivyo na kutaka kuja kulisha wengine,ujinga!
Awamu ya nne kuna padre alipigwa risasi Zanzibar, walikuja,wakamchora muuaji akakamatwa. Hebu atuambie ni madhara gani yalitokea?
Mku cheza na kingine sio Itikadi kumbuka Itikadi ni Imani kamili kama zilivyoimani nyingine unayoishi wewe na familia yakoLakini huyu pia alikuwa na 'wafuasi' zaidi ya 23,000 (wafanyakazi wake na familia zao) + wapenzi wa timu ya Simba (sina idadi yao).Ni zaidi ya unavyofikiria!
Kaka nimeuliza swali unajua madhara ya kuita wachunguzi wa nje? Ulichotakiwa Ni kunijibu ndugu yanguUsikubali kumezeshwa ujinga!
Kaka nimeuliza swali unajua madhara ya kuita wachunguzi wa nje? Ulichotakiwa Ni kunijibu ndugu yangu
Inaonekana wewe ndio umekubali kumezeshwa ujinga
Mkubwa kea Nini husifikirie kinyume chake kuwa Kuna watu wanataka kuichafua serikali yetu maana Kama Ni serikali wanajua kuwa wakimteka mtu katika maeneo ya serikali watajulikana wao,na wanaoichukia serikali wakaona wakimteka mru maeneno ya serikali itajulikana serikali,Ni mawazo yangu tu mkubwa
Ni kweli unachosema ndugu yangu ila wakati watu hawa wanapanga kumbuka nao ni wajuzi wa michezo hii Kama watu was Usalama,hivyo kufanikiwa kwao sioni Kama Ni tatizo tatizo Ni mwendelezo wait au wakiendelea kufanya hivi Kila siku maana na vyombo vya usalama Wana tabia ya kufanya kazi kwa mazoeaMkuu, ni kweli kuwa ni wazo lako lakini hata wazo lako bado haliakisi mada. Hao watu wanaotaka kuichafua serikali, kwanini wanafanikiwa kuichafua serikali na wasikamatwe?? Kifupi ni kuwa watekaji (wawe wachafuzi wa serikali au watekaji halisi) hawakupaswa kufanikiwa jambo hili kwa kiasi hiki!!!
Sky unampenda sana kipanya eh ?
AnafurahishaSky unampenda sana kipanya eh ?