Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Wakati nikiwa mdogo miaka hiyo niko shule ya msingi na Sekondari Katuni niliziona kama utani fulani na kazi isiyokuwa na maana ila kadri nilikuwa nakua naona katuni za Tibasima,King Kinya etc na kwa sasa Kipanya yaani ndio naelewa zaidi kwamba huwasilisha mawazo mengi na makubwa kuliko hata mtu aliyeandika hotuba ndeefu na kwenda kuihutubia

Hongera sana Kipanya,huwa namtafuta jamaa mmoja Tigro Boy sijui yuko wapi ye ndo pekee darasani kwetu aliweza na alikuwa anajua kuchora
 
Ni simpo sana , ukiangalia kwa juu , mstari ule unaonyesha dhahiri watekaji walikuwa wamejikita Kawe , walipoona watavamiwa wakaanza kukimbia kwa mtindo wa Zigzaga Mrenda , hatimaye wakaamua kumtupa MO gymkhana .
Ile SisiTv iliyofuatilia watekaji kutoka osterbay mpaka keep left ya Kawe haionekani vizuri. Ipo hapohapo katikati
 
Back
Top Bottom