raphael andrew
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 825
- 945
Huyu jamaa anayoyataka atayapata
Muvi la anodi ya jini,ANODI anajipaka matope JINI alimuoni SHOZINIGA au MOvi la NTEZE DRAGONI la Blu3.
Mbona kipanya hana jipya. Nafikiri mlichofurahia ni kujua kuwa Masoud kipanya anafikiri sawa na wanaharakati wengine.
Familia ya Mo ndio ulipata matatizo ndio pekee wanautambua Mchango wa vyombo vya usalama vimefanya nini mpaka Mo kupatikana.
Wanaoamini hiyo ni movie yakiwatokea wasiombe huduma ya polisi kwani hawana uwezo.
Huyu jamaa anayoyataka atayapata
Hahahahaa lazima wanashikana uchawi kwamba fulani ndio aliyeharibu.Sasa hivi lazima watakuwa wanasutana
I salute Kipanya cartoon, afikiriwe Katika tuzo ya juu kada hiyo.
Andha kanoon imezima ghafla .. Ruti ruti kasnatihe aste aste kurubaaaniiii!
Si aliwahi kutekwa baada ya Roma na akarudishwa kwanza!! .Huyu jamaa anayoyataka atayapata
amka basi, ndoto yako utaimalizia baadaeMbona kipanya hana jipya. Nafikiri mlichofurahia ni kujua kuwa Masoud kipanya anafikiri sawa na wanaharakati wengine.
Familia ya Mo ndio ulipata matatizo ndio pekee wanautambua Mchango wa vyombo vya usalama vimefanya nini mpaka Mo kupatikana.
Wanaoamini hiyo ni movie yakiwatokea wasiombe huduma ya polisi kwani hawana uwezo.
Mkubwa kea Nini husifikirie kinyume chake kuwa Kuna watu wanataka kuichafua serikali yetu maana Kama Ni serikali wanajua kuwa wakimteka mtu katika maeneo ya serikali watajulikana wao,na wanaoichukia serikali wakaona wakimteka mru maeneno ya serikali itajulikana serikali,Ni mawazo yangu tu mkubwa
Ndo shida ya kuja town na GARI za ng'ombe na kujifanya born town kumbe wanachorwa walivo bushman, Dunia inakimbia wao wanatambaa kurudi nyumaHawa watu wanadharaulika sana!!
Watekaji ovyo sana mpaka katuni anawapa ushauri
Mungu kuwanyima MAARIFA ili waangamie tazama walivo uchiHahahahaa lazima wanashikana uchawi kwamba fulani ndio aliyeharibu.
Sidhani kama kuna kutekwa mara Mbili.Azory na Ben watu walichelewa kupiga yowe,Si aliwahi kutekwa baada ya Roma na akarudishwa kwanza!! .
Kwa hiyo hakuna jambo geni